Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnada wa nyumba ya mfanyabiashara, Lugumi iliyopo Mbweni umesitishwa baada ya wanunuzi kushindwa kufikia bei elekezi, mnunuzi wa juu amefikia Sh510 Nyumba ya pili iliyopo mtaa wa Mazengo Upanga...
5 Reactions
81 Replies
14K Views
Hizi habari za watu kuhama upinzani na wengine waliokua nje ya siasa kuhamia CCM inanipa mashaka isije ikawa kuna dili nono laja wanakimbilia mgao!! Au pesa za ACACIA zitagaiwa CC* nn?? Na kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakati huu wakuu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema hivi ni kwanini ukielezea mapenzi yako waziwazi kuwa against upande fulani wa "... " unakua adui? Ni mimi tuu au ndio mchezo wa...
1 Reactions
9 Replies
947 Views
Huwezi kuamini lakini ukweli utatuweka huru. Jumuiya ya afrika mashariki inajua. Jumiya ya kusini mwa Afrika sadc wanatambua. Asilimia kubwa ya watu wanaouzwa ni watu kutoka somalia na mataifa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Yaani Wahubiri wa siku hiz mahubiri yao Mengi unakuta 75% yanahusu kupata hela, ujasiliamali na mengi yanayofanana na hayo halafu unakuta 25% inayobaki ndio mafundisho ya kibiblia. Kanisani...
2 Reactions
5 Replies
900 Views
Salamu wakuu! Weekend inaendelea vizuri. Kina tabia ya wanaume hasa wa Dsm unakuya mtu anakunywa pombe hana cash mfukoni hata 100. Akishalewa anasema nakulipa kwa mpesa au tigo pesa na mbaya...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwepo na uhamasishaj wa raia kuchangia miradi mbalimbali ya kushtukza ikiwemo hili la kijenga makazi ya askari wa jeshi la polisi. Mimi sikatai kabosa ushirikshwaji kwa sababu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Madini Mhe. Angela Kairuki leo tarehe 24/12/2017 amekutana Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al Najem. Wamezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi nisiwachoshe sana,Salaam? Kuna ndg anaitwa Elias Jonas Samson vyeti vyake vimeokotwa msamvu stand ya mabas morogoro O.level amesoma st peter,A.level amesoma Nyegezi seminary,na chuo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alichomwa mshale na mtu aliyefanikiwa kukimbia bila kuonekana, akiwa kwenye maumivu makali akabahatika kupata msaada na kupelekwa hospitali Cha kushangaza sana akakataa matibabu...
11 Reactions
19 Replies
4K Views
Tangu jana na juzi kumekuwepo na madai kuwa payroll zinaonyesha kuwa kutakuwa na increment katika mishahara ya mwezi huu kama bwana mkubwa alivyoahidi. Sasa wadau,leo ndio mishahara imetoka na...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Amehami CCM rasmi, naye ameonyesha "kukunwa" na kasi ya Rais Magufuli, mpaka 'kadandia mchuma'. Sasa kwa kuwa RaisMagufuli ana operation ya kubomoa makazi ya raia yanayodaiwa kuwa ndani ya maeneo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Section 4 & 6 inaanzisha mfuko mpya, unaitwa Public Service Social Security Fund. (PSSSF) Section 77 Inafuta mifuko yote ilokuwepo ispokua NSSF. S.81 Hata Voluntary Schemes za mifuko ilofutwa...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari za jioni wanabodi. Ni utaratibu uliokithiri kwenye jamii nyingi bila kuangalia dini zao ama makabila yao, unakuta kwenye msiba mtu amefariki anazikwa na suti,vito vya thamani kama cheni...
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Rais John Magufuli amemteua Katibu Mkuu wa zamani, Dk. Willibrod Slaa kuwa balozi. Taarifa za iliyotolewa jana na Ikulu ilisema Dk. Slaa ataapishwa baada ya taratibu zote kukamilika. Hata hivyo...
15 Reactions
99 Replies
15K Views
Musa alikuwa akifanya kazi za ulinzi katika kata ya Itope aliuuawa kwa kipigo na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake Salome ambaye alifahamika kwa jina moja hilo, mwishoni...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa mara ya kwanza Hii itakua imeondoa gharama ya Sh900,000 kwa wiki kwa ajili ya kusafisha figo kwa wenye matatizo hayo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Imethibitishwa dawa hizi zinasababisha kuharibika kwa figo. Kindly forward to your relatives in Africa. The list of drugs against malaria removed from the market in the European Union. The...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya asubuhi toka UFM akihojiwa kaka yake Lissu na kudai kuwa, familia iliandika barua kwenda ofisi za Bunge kuomba Bunge kuchukua jukumu la matibabu ya Tundu...
10 Reactions
80 Replies
6K Views
Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo wamelalamikia gharama za uondoshaji mzigo bandarini kudumaza ufanisi wa shughuli zao. Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK)...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Back
Top Bottom