BoT Kagueni Biashara ya Forex Chini ya TMT pale Jangid Plaza

BoT Kagueni Biashara ya Forex Chini ya TMT pale Jangid Plaza

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,149
Wanabodi, Hakuna kitu kinachofanywa ndani ya nchi hasa training za pesa bila ya mtoa training kuwa na Certification yoyote. Ikumbukwe kuwa mambo ya pesa yakiyumba hasa thamani ya shilingi huathiri jamii nzima

Huyu kijana anayejiita ONTARIO humu JF ambako ndiko alikopatia umaarufu amewageuza vijana wenzake kuwa daraja la kuwatapeli na kuwaumiza sana, Elimu hii ya trading anayoitoa lazima muidhibiti mapema kabla hajawaharibu vijana wetu wa secondary na vyuo.

Wengi wameumizwa na huyu kijana Ontario by nickname mwenye office za forex hapo Jangid plaza, Je analipa kodi kama bureau de change ?

Je, Kila msoma vitabu akiamua kufundisha mamia ya watu bila certification yeyote inaruhusiwa

Ni mamlaka zipi zinazoruhusu biashara za risk kama pesa bila muhusika kuwa registered na kufanyiwa analysis za impact ya biashara yake kwenye jamii

Kuendelea kuiacha hii biashara kiholela muda utaongea, The strongest mesures are required to control our currency

Rais alishasema mambo yafanyike kwa shilling hata makampuni mengi ya shipping agent bandarini wameanza kuandika Invoice kwa shilling baada ya tangazo la mkuu
 
Hizi ni tabia za kike hivi unadhani mpaka iyo biashara inafoka hapo wao hawkuiona?
 
Back
Top Bottom