Tujifunze kutoka kwa Mbweha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,983
Hii ni picha ya Wolves kuna kitu cha kujifunza hapa
26055675_10215583170800229_4642669011302026932_n.jpg


1. Kundi la kwanza la Wolves ni wale ambao ni wazee na wagonjwa hawa hutangulizwa mbele katika jamii ya wolves kama ikitokea chochote waweze kujiokoa

2. Kundi la pili ni kundi lililozungushiwa duara la njano ni kundi ambalo ni wenye nguvu na wazuri kwenye mapambano hawa kazi yao ni ulinzi wa wazee na wagonjwa mbele

3. Kundi la tatu ni kundi ambalo ni wafanyakazi zingine ambazo sio za kiulinzi hawa hutumwa kwa ajili ya kutafuta chakula , kuwinda kwa ajili ya jamii hii kula hili ni kundi muhimu sana katika jamii ya hawa wanyama wao ndio wafanyakazi na ndio roho ya kundi hili

4. Kundi la mwisho ni walinzi ambao kazi yao ni kuwalinda kundi hili muhimu la wafanyakazi katika jamii hii ya wolves

5. Mwisho kabisa yule aliye nyuma kuliko wote ndio kiongozi kazi yake kubwa ni kuongoza na kuhakikisha kundi lake hakuna anayebaki nyuma , anahakikisha kuwa malengo yao waliyojiwekea katika safari yanafanikiwa

Somo: Kama wanyama wana mpangilio thabiti katika maisha yako kwanini sie hatuna, ni wakati wetu kuweka mipango na malengo ya kimaisha ili tuweze kuisimamia na kuweza kufanikiwa katika maisha yetu

Nawatakia kheri ya mwaka mpya
[HASHTAG]#Tuishikamawolves[/HASHTAG]
 
Mkuu una utani, kwai yule bwana ni mbweha? Hahaaaaa haki ya nani akutukanaye hakuchagulii tusi. Usiseme nimepindsha tafsiri, au sijaelewa mada
 
  • Thanks
Reactions: PNC
imekaa poa sana ingawa kiongoz kula nyuma anaweza pewa kichapo na wote wasijua....mana yuko nyuma sam
na
 
Hawa Wazee huku mbele si wanaweza kuvamiwa kama adui yao anatumia silaha kama bunduki!
 
Back
Top Bottom