HIVI UCHAGUZI WA MARUDIO UMESHAPITA?

HIVI UCHAGUZI WA MARUDIO UMESHAPITA?

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Wadau sisikii habari zozote za uchaguzi huu. Mbona hauna msisimko tuliouzoea kwenye chaguzi ndogo kama hizi?.

Ni kimya kabisa. Watu wako bize na mambo mengine .
 
Hakuna uchaguzi ni uhabibifu wa pesa ya walipa kodi maana vyama vingine havina ruzuku ja siku zote havina ushindani vimenunuliwa viwepo kuoneka vilishiriki kuithibitisgia dunia kuwa kuna demokrasia.Lakini uoanse mwingine hata hivyo vyama vilivyoshiriki havikuiona kasoro kwenye uchaguzi wa madiwa 42 uliopita?kwasasa kwa kuwa hakuna ushindabi na vyqma vinavyoshiriki vilinunuliwa hutasikia kasoro wala mtu kupigwa mapanga
 
Mm nawasihi ukawa kwa uteuzi qa kinondoni na siha tayari ccm wamesgajosa majimbo hayo ujawa safari hii mshiriki hata kama kailima anatumika kuisaidia ccm kwa hapo wamekosea hawapati kura.Na tuone kama waoiga kura wanafurahishwa na kununuliwa wabwapinza kuhamia ccm
 
Back
Top Bottom