"RAIS MHE MAGUFULI
MAKAMO MHE SAMIA SULUHU
WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJAALIWA
MKU WA MKOA MHE POUL MAKONDA
WATANZANIA WENZANGU
Mim Wastara juma muigizaji wa filamu tanzania naandika ujumbe huu mfupi...
Wataalamu wanasema mwezi huu ulionekana kwa Mara ya mwisho miaka 68 iliyopita. Supermoon ni neno la kingereza lenye maana ya "Mwezi mzima kuonekana katika hali yake".
Mwezi huu utaonekana tena...
Nimesoma tukio la jezi aliyovalishwa kijana mweusi mwenye asili ya Kiafrika huko Ulaya na kutangazwa kibiashara nimesikitika sana. Matukio kama haya bado ni mengi kila mahali. Tunasikia jinsi...
Tuko vijana wawili wote ni waajiriwa wa serikalini na wote tulianza kazi mwaka 2012. Mwaka mmoja baada ya kuanza kazi kila mtu alikuwa na ndoto za maisha yake, mimi nilikuwa ni mwoga wa maisha na...
Habari zenu!
Kwa kweli TBA kama chombo kilichoaminiwa na rais kujenga baadhi ya majengo kufikia hatua ya kushindwa kubomoa ghorofa ni udhaifu mkubwa.
Mpaka sasa mmeshindwa sababu mnasuasua licha...
Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Agustino Senga akizungumza leo Alhamisi amesema matukio hayo ya vifo yametokea kwenye mazingira tofauti.
Simanjiro. Watu wawili wamefariki dunia wilayani...
Ni mabint warembo ,waliniomba niwakopeshe kwa nyakati tofauti wafanye biashara watakua wananipa elf 10 kila wiki, mwaka sasa nazungushwa kesho kesho nyingi
,Kibaya zaidi nikiwa mbali...
Tukiwa porini tunawinda enzi zile tunasoma shule ya msingi na kaka zetu huko kijijini na kaka zetu wakubwa tulikuwa tunaenda kuwinda na mbwa wakati wa likizo au mar nyingi siku za mwisho wa wiki...
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akijaribu kuendesha baiskeli yenye madumu ya maji alipokuwa katika ziara ya kusikiliza kero za huduma ya maji katika Kijiji cha Mwakitolya mkoani...
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........
Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......
NB
Nimepanda Dar...
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA ( TANESCO) TAARIFA KWA UMMA - WADAIWA SUGU
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari...
Wakuu kwema?
Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
Tunaamini kabisa kwamba siyo siku zote huwa zinafanana. Mara nyingine siku huanza vema na kuendelea kwa furaha amani na mafanikio hadi mwisho wa siku hiyo.
Mara nyingine siku yako huanza vibaya...
Habari wanaJF,
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack ameuvunja uongozi wa serikali ya kijiji cha Maganzo Wilayani Kishapu pamoja na kamati ya shule ya msingi Jitegemee kufuatia uongozi huo...
Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa...
Hiki kituo ukiweka mafuta usiku imekuwa kwako, wajirekebishe wawaulize Oilcom Mbezi chini wanalia baada ya GBP kufunguliwa, Oilcom walizoe kuwaibia Wateja sasa hivi wanabembeleza watu warudi ila...
Nimepewa ' Lifti ' na Mtu na tumefika eneo moja ( siwezi kulitaja ili kumlinda huyu Trafiki asijekutumbuliwa akasema GENTAMYCINE nimemponza ) cha kushangaza Trafiki huyu katusimamisha na kafanya '...
RC Shinyanga Bi.Zainab Telack amsimamisha kazi mwalimu mkuu wa shule ya msingi Jitegemee iliyoko mkoani Shinyanga Bw.Thomas Mabula kwa tuhuma za kufumbia macho uchimbaji wa madini ya almasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.