Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akijaribu kuendesha baiskeli yenye madumu ya maji alipokuwa katika ziara ya kusikiliza kero za huduma ya maji katika Kijiji cha Mwakitolya mkoani...
Habari wakuu nipo safarini naelekea Arusha....kwa speed hii nahisi tutafika Arusha saa 7 mchana........
Najiuliza leo wazee wa tochi wamejisahau au ndio mambo ya mlungula.......
NB
Nimepanda Dar...
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA ( TANESCO) TAARIFA KWA UMMA - WADAIWA SUGU
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari...
Wakuu kwema?
Nakumbuka mukulu alitoa order kuwa kabla mwaka haujaisha waziri awe ameshafanya uchunguzi wake Leo tunaelekea katikati ya mwezi hakuna taarifa yoyote au ndo yaleyale ya same old story?
Tunaamini kabisa kwamba siyo siku zote huwa zinafanana. Mara nyingine siku huanza vema na kuendelea kwa furaha amani na mafanikio hadi mwisho wa siku hiyo.
Mara nyingine siku yako huanza vibaya...
Habari wanaJF,
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack ameuvunja uongozi wa serikali ya kijiji cha Maganzo Wilayani Kishapu pamoja na kamati ya shule ya msingi Jitegemee kufuatia uongozi huo...
Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa...
Hiki kituo ukiweka mafuta usiku imekuwa kwako, wajirekebishe wawaulize Oilcom Mbezi chini wanalia baada ya GBP kufunguliwa, Oilcom walizoe kuwaibia Wateja sasa hivi wanabembeleza watu warudi ila...
Nimepewa ' Lifti ' na Mtu na tumefika eneo moja ( siwezi kulitaja ili kumlinda huyu Trafiki asijekutumbuliwa akasema GENTAMYCINE nimemponza ) cha kushangaza Trafiki huyu katusimamisha na kafanya '...
RC Shinyanga Bi.Zainab Telack amsimamisha kazi mwalimu mkuu wa shule ya msingi Jitegemee iliyoko mkoani Shinyanga Bw.Thomas Mabula kwa tuhuma za kufumbia macho uchimbaji wa madini ya almasi...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha kwa mvua kubwa inayofikia asilimia 80 kuanzia leo Jumatano usiku hadi kesho kutwa.
Mvua hizo zitanyesha katika maeneo mengi ya...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limetangaza kufanya msako mkali mwaka huu, kwa watu wanaovaa nguo zisizo na heshima, kulingana na maadili ya Tanzania na kuwafikisha mahakamani.
kizungumza leo na...
Wakili wa Wema Sepetu Peter Kibatala ameandika barua ya kujitoa kuwa wakili wa Wema. Alberto Msando ameandika barua ya kuwa Wakili Mpya wa Wema Sepetu. Kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe...
Nimeangalia video ya wimbo "Fresh" wa Fid Q, Diamond na Rayvanny, nimegundua uvaaji mzuri wa kina dada waliopo kwenye video hiyo. Kumbe inawezekana wadada kutokaa uchi kwenye video na bado...
Kuna watu mbalimbali ambao kwa michango yao kabla na baada tu ya uhuru wanachukuliwa kuwa ni waasisi wa taifa hili. Ni wazi kuwa kuna vitu ambavyo labda tungefanya tofauti, changamoto mbalimbali...
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, ameagiza wagonjwa wasiotakiwa kufanyiwa upasuaji waliopo hospitali ya taifa Muhimbili kuhamishiwa hospitali ya Mloganzila...
Nchi nyingi Duniani watu hupata majibu au huja kugundua kuhusu mambo fulani kumhusu Kiongozi fulani baada ya yeye kufariki na wakati mwingine hata baada ya kupita miaka mingi sana, lkn TZ yetu ni...
Waandishi wa habari watano wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefikishwa mahakamani wilayani Kahama kwa makosa ya kujifanya maafisa usalama wa taifa na kujipatia fedha shilingi Milioni 1 kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.