Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanasiasa kuweni na akiba ya maneno.Kumbukeni Kamanda Lowassa amewatangulia kuijua Siasa, Katiba ya nchi anaijua, Ikulu amekaa kwani Waziri Mkuu Ana ofisi pale hakukurupuka kusema atamwachia Babu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu hawa watu ni janga mno unaweza kutuma pesa kwa bahati mbaya ukawa umeikosea na ukawahi kuwapigia simu kisha wanakujibu tumeuzuia sasa usubir masaa 24 unaweza kusubir hayo masaa 24 na bado...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku chache baada ya Raisi Magufuli kutangaza kubomolewa kwa jengo la Tanesco kuna sms ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa watu wajiandae, wanunue umeme mapema maana siku yoyote yawezekana...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI. _______________ Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni vema tukafahamu kwamba katika maisha rafiki anaweza kuja kuwa adui au msaliti kwenye mambo mengi sana yakiwemo mambo ya kwenye mapenzi, biashara, kupata nafasi kazini, mahusiano na marafiki...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
  • Closed
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana kwamba kuna Wanyarwanda wapo nchini wanafanya kazi kwenye taasisi za umma vikiwemo vyombo vya usalama, huku lengo lao likiwa ni kuiba taarifa na kupeleka walipo...
15 Reactions
138 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu. Mi ni miongoni mwa wateja ambao wanatumia sim bank. Sasa sehemu ambayo naomba nisaidiwe ni hapa. Ikiwa mwanzo ulikua unatumia line ya tigo ghafla sehemu uliyokwenda ikawa haina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hbr wapendwa. Najiuliza, Tunaambiwa kanuni ya mwandishi wa habari n kuweka mizania ktk habari husika kwa pande zote. Mbona sijaona mwandishi yeyote atuhabarishe kuhusu waathirika walivyolipokea...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Unaweza kuongeza uliyokutana nayo au ya kwako. "Zangu source hazijulikani" Mfalme wa Italia wa 18, Umberto alikwenda mgahawani huko Monza na Mkuu wa majeshi Emilio Ponzia Vaglia. Mmiliki wa...
2 Reactions
5 Replies
996 Views
Baadhi ya wakazi wa Kiangu na Chuno mjini Mtwara wamelazimika kuyahama makazi yao yaliyojaa maji baada ya mvua kunyesha. Mvua ilinyesha usiku wa kuamkia jana Jumamosi Desemba 9,2017 saa nane...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Nianze kwa salamu ziwafikie wanajamvi wooote, nimatumaini yangu muwazima wa afya njema! Nirudi kwenye maada, takriban siku 20 zimepita toka nisajil laini yangu ya simu katika mawakala wa moja...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu samahani naomba mnisaidie seriez online ina subtittle ila nikiidownload inacheza bila subtittle Nimetumia VLC Nina pc kupitia idm asante Nimeipenda Dramacool kwa sababu unadownload file...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu ambaye anaendelea na matibabu nchini Kenya jijini Nairobi amefunguka na kusema kuwa wanaendelea kupigana na watashinda vita hiyo. Lissu amesema hayo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Huu ni wimbo uliotolewa na Bushoke mwaka 2005 akimuombea msamaha.Bushoke ukimsikiliza katika huo wimbo anasema "Watu wanaishikilia kesi ya P",anaendelea kusema "Rais mtoa P,watu wanampenda...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Marafiki wa Isaac Habakuk pamoja na wadau ambao hawakupendezwa na hukumu dhidi yake ya kwenda gerezani miaka 3 au kulipa faini ya milioni 7 kwa kudaiwa kumtukana Rais Magufuli kupitia mtandao wa...
12 Reactions
198 Replies
22K Views
wadau kiukweli hii hali ya uchumi ni kufa kufaana. imesaidia sana wale mademu waliokuwa wanazingua sana zamani ... aaahh.. sasa wamekuwa wepesi kama unyoya tu.yaani kama upo fresh kila siku...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Takwimu za Shirika la takwimu la Taifa (NBS) zinaonesha mfumuko wa bei Tanzania kushuka kutoka 5.1% mwezi Oktoba hadi 4.4% mwezi Novemba. Tanzania Annual Inflation Decrease to 4.4% in November...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar amesema hakuna ushahidi kuwa waliowapiga wananchi Ukonga ni askari, na ametaka mtu yeyote mwenye ushahidi aupeleke. Ameelezea watuhumiwa hao walipokuwa wanawapiga...
1 Reactions
126 Replies
12K Views
Salam zenu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, Ndugu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inamsuta sana. Niseme tu...
15 Reactions
66 Replies
7K Views
Salaam wana HHM Jamani mi nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 4 na miezi kama 8 hivi Huyu mwanangu anaishi na mamake mkoa jirani na ninaoishi Mimi,kila Mara napata malalamiko toka kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…