Mfumuko Wa Bei Umeshuka 5.1% Mwezi Oktoba Hadi 4.4% Mwezi Novembar

Mleta uzi Ngoja tukuambie tu ukweli maisha yamezidi kuwa magumu na biashara na ajira nyingi zinazidi kupotea.
 
Mleta uzi wewe ni wale mliomali course ya uzalendo jana kule Dodoma? Naona unajaribu kupima umeiva uzalendo kiasi gani baada ya ile course ya jana. Ngoja tukuambie tu ukweli maisha yamezidi kuwa magumu na biashara na ajira nyingi zinazidi kupotea. Rudi kwa mkufunzi wa hiyo course ya uzalendo mwambie sera zenu zimechemsha sasa inabidi kumtumia babu Seya kama kifuta dhahama.
Alichoweka mleta mada ni takwimu za NBS bila comment yeyote ile. Sasa wewe hasira za nini?
 
Alichoweka mleta mada ni takwimu za NBS bila comment yeyote ile. Sasa wewe hasira za nini?
Acha upumbavu.

NBS wamemtuma, kama ndio waliomtuma basi awapatie huu mrejesho, na kwa kukusaidia tu hata hao NBS wako hapa hapa jukwaani kupima upepo. Rejea TBA baada ya nyufa za UDSM, taarifa walizapata humuhumu mitandaoni.
 
Kama kweli unafikiri kwa kutumia UBONGO utafahamu lisemwalo ni la uteuzi tu na endapo hufikiri kwa kitu tofauti na ubongo utaafiki hilo jambo

Mafuta ya petrol diesel ama paraffin yamepanda ama yameshuka? Sasa transport cost anayeibeba nani?
 
mafuta yamepanda? halafu inflation imeshuka? dah
Inflation tunasema Ni General level Prices huwezi Ku peak bidhaa kama Condom au Mafuta then useme imeongezeka Huu labda Uchumi wa huko kwenu.

Wengi mashahidi Unga ulifika 2500, Nyama ilikua 8000 na Vyakula kibao Nguo madukani zimeshuka sana.......
 
uongo uo!
 
Inlation kushuka sio kila wakati inaonesha kuboreka kwa maisha ,lkn pia inaweza ashiria uwezo wa watu kumudu bei ni mdogo na hivyo kupelekea wauzaji kupunguza bei na mwisho mfumuko wa bei kuonekana umepungua
 
Back
Top Bottom