Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni miezi kadhaa aliibuka mzee mzima Dk.Shika a.k.a "Bilionea wa nyumba za lugumi" Kama kawaida mzee aliibuka kama utani na zile ahadi za mabilioni alizoahidi mara ghafla mzee akawa maarufu zaidi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwenu TIRA, Ninawaandikia humu JF kwa kuwa kwenye website yenu link ya kutoa maoni/malalamiko haifanyi kazi. Ninaamini kwa dhati kwamba kama mnatambua vizuri kazi yenu, basi mtaelewa kuwa...
2 Reactions
5 Replies
47K Views
Kuna mchezo fulani wa bahati nasibu ulikuwepo hapa Tz mwaka 2000 ukiitwa 'Jackpot Bingo'. Sijui hatma yake ilikuwa vipi kwani mchezo ulitokomea kusikojulikana hadi leo! Walienda wapi wale wazee?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MOROGORO: Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli nchini (RAHCO) imesema wameomba serikli kuipatia Shilingi milioni 994 kwa ajili ya Ukarabati wa Reli ya Kati uliosababishwa na mvua. Mkurugenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nchi hii inasumbuliwa na maadui 3:- ujinga, uwoga na unafiki. Ni kosa gani ametenda nabii Tito? Kucheza rumba? Mbona baikoko na rusha roho zimezagaa mitaani? Hizo singeli ambazo wadada...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Binadamu tunatabia ya kusubiri mtu afe ndio mnaanza kumkumbuka na kumlilia.Je Kwenye maisha yako ni mtu gani utamkumbuka milele .
1 Reactions
25 Replies
2K Views
WAKUU NATANGULIZA SALAM ZANGU KWENU NA TULIJADILI JAMBO HILI KW MAPANA YAKE. Nadhani kumekuwua na ongezeko kubwa sana la wahitimu wa elimu ya juu kwa level ya bachelor na hata diploma kwa kada...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
1. Muda wa alfajiri napunguza mwendo ninapo karibia roundabout, ananiwashia taa kuashiria kuwa niendelee na mwendo mkali, 2. Muda wa jioni kukiwa na giza, nasimama kuruhusu gari inayotaka kuingia...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Marlin Komba amesema hamtambui mtu anayejiita nabii Tito na kwamba hajasajili kanisa lake katika ofisi ya msajili wa taasisi za...
8 Reactions
353 Replies
47K Views
SWALI: Kwanini tunaota? Hesabu zinaonyesha kuwa 3/4 ya maisha ya wanadamu wengi yanaishia usingizini. Lakini cha kushangaza japokuwa mda mwingi tunaumaliza kwenye usingizi lakini mengi yanayokuwa...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Wakuu naomba kuwasilisha.. Makaburi ya Kinondoni yamejaa kiasi kwamba hata sehemu ya kuzikia ni shida. Sana Sana unauziwa eneo kinyemela na ndugu yako kuzikwa juu ya kaburi la miaka mingi na...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
What are some things you realize as you get older?(Je, ni mambo gani unayotambua jinsi unavyokua mkubwa?)
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Hongera mbunge wa Mtama Nape kwa uzalendo wa kutembelea hifadhi ya Ngorongoro, mimi ni mpiga kura wako nilikuwa kwenye pilika zangu za kutafuta mkate wa kila siku.Mara nikakuona hapa shimoni...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Nilikuwa nachati na rafiki yangu kwa whatsap hapa, alikuwa ananismulia tukio lililowakuta leo maeneo ya Kipawa. Alikuwa anatoka Gerezani wakiwa abiria wengi katika gari, waliokaa na kusimama...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Usiku nigiza ikifika 19:00hrs 22:00hrs nimda wazinzi wanafanya yao.23:00hrs 01:00hrs mda wamakahaba 01:45hrs 04:30.mda wawachawi wanafanya yao hapo ndiopaguni. wachawi wanafanya mambo mengi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna maneno sana huku kwetu kambini kuhusu watanzania na wanainchi wa nchi zingine kuhusu utendaji wa kazi...ni kweli sisi ni wavivu au tunasingiziwa tu wa mataifa mengine?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mr Laurence Jumanne Mabawa....Mwanaharakati MWANAHARAKATI mzalendo ambaye alipata kuwa gumzo mwaka jana kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, Laurence Jumanne Mabawa, amesema atawataja...
2 Reactions
149 Replies
12K Views
MAJUKUMU YA MSINGI YA JESHI LA KUJENGA TAIFA -JKT 1. Malezi ya Vijana Vijana kufundishwa moyo wa kupendana bila kujali tofauti za itikadi, dini, kabila na kipato Kupenda kazi za mikono. Kuthamini...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Jimbo la Siha na Kinondoni kabla ya chaguzi za 2015 yalikua CCM. Wananchi walilijua hilo lakini wakachagua upinzani kujiuzulu na kugombea tena wanamaanisha waliowachagua ni mtaahira naomba...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Afisa tarafa wa Themi Arusha Felician Mtahengerwa amepiga marufuku wakina Mama kubeba Watoto mgongoni na kwenda nao sokoni. _ Amewataka kina Mama wote wenye Watoto waajiri Wasichana wa kubaki...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom