Mliowahi kufanya kazi Bank naomba msaada wenu

Karot

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
883
1,000
Habari zenu wakuu.
Mi ni miongoni mwa wateja ambao wanatumia sim bank.
Sasa sehemu ambayo naomba nisaidiwe ni hapa.

Ikiwa mwanzo ulikua unatumia line ya tigo ghafla sehemu uliyokwenda ikawa haina mtandao na lengo langu kila mwezi nataka nijue kilichopunga au kuongezeka.

Nafaham kwamba ukitaka kubadili unajaza form ya kufuta ile ya mwanzo halafu unajiunga nyingine.
Swali langu liko hapa.

Je unaweza kujiunga line ya mtandao mwengine ambao unapatikana kirahisi eneo husika bila kujaza form?. Hapa namaanisha inawezekana kwenda ATM na ikakubali kujiunga?

Naomba wajuzi mnisaidie hapa, maana nasema hivi kwa kua mwenzangu alipoteza line, akaenda kurenew ila kwa bahati nzuri hakujaza yeyote na anatumia mpaka leo.

Nimelileta hapa swali langu kwa kuwa nafaham ni sehemu sitotoka kapa. Mna wajuzi wa kila idara humu.
Nb: NMB bank ndo nnayotumia.
 

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
472
500
Hiyo bank iliyimkubali mwenzio bila kujaza fomu ni bank uchwara" sasa hivi kuna wizi sana wa kimitandao "lazima benki ijiridhishe kwa kuweka documentation ie sahii yako ina match na ile ya awali plus other details
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom