Bushoke alivyomtungia Papii Kocha wimbo na sasa yametimia

isupilo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
303
1,000
Huu ni wimbo uliotolewa na Bushoke mwaka 2005 akimuombea msamaha.Bushoke ukimsikiliza katika huo wimbo anasema "Watu wanaishikilia kesi ya P",anaendelea kusema "Rais mtoa P,watu wanampenda P".Anasisitiza anasema "Hata kama mi nikifa,P atoke hata kwa msahama wa Rais"

Wimbo unahuzunisha sana,lakini miaka zaidi ya 10 baadae,wimbo na kilio cha Bushoke kimesikika.Huu ndio wimbo uliomfanya Bushoke apata deal wakiwa na Vicky Kamata,kuzunguka nchi nzima kumpigia "mtu fulani" kampeni 2005
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom