Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau nimefanya takwimu kidogo jijini Dar es Salaam nimeona magari ya Aina ya IST na RAUM yameongezeka kwa kasi barabarani siku za karibuni na aina za magari mengine zimeanza kupotea hii...
0 Reactions
7 Replies
932 Views
Tido Mhando,ukiacha yeye kuwa mkurugenzi katika mashirika kadhaa makubwa ya utangazaji,anashikilia rekodi ya kuwa mtu pekee duniani aliyefanikiwa kufanya mahojiano na marais wote duniani...
27 Reactions
59 Replies
15K Views
Habari za asubuhi wana JF Kwanza kabisa niwatakie waislamu wote Ijumaa Karim. Pili bila ya kupoteza muda kwa sisi wahenga tuliokula chumvi (wazee wa zamani wanaakili sana wanajua ukiwa mtu mzima...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ijumaa ya wiki iliyopita nilikwenda ofisi za TRA kufuatilia leseni yangu ambayo nilikwishailipia wiki tisa (9) zilizopita. Hii ni mara ya tatu kwenda kuulizia kama leseni yangu iko tayari. Kila...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kazoea kunitumia sms hizi. Habari Ya Huko Tabora Kijana Wangu Kevini Ninakushukuru Sana Kwa Zawadi Uliyo Nitumia Lakini Nadhani Hata Wewe Mwenyewe Umeamini Kuwa Ndagu Yangu Haina Madhara Si...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Dar es Salaam. Invitations to the annual World Economic Forum (WEF) in Davos are sent to individuals, not countries, Foreign Affairs minister Augustine Mahiga clarified yesterday. This is the...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna wanyama upo uwezekano wa kutoweka ambao ni sungura pori kwetu tunawaita subuya sikasikia hifadhi inayojishughulisha nao. fisi nhawa. Fisi hawa hupendelea kukaa kwenye makazi ya watu ila wana...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Nahoji usahihi wa suala hili. Kwanini kwenye fomu za benki unaulizwa maswali mengi ilihali pesa ni yako?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiona kuwa siku hizi ranging za mafuta kutotumika kupaka kuta za nyumba kama ilivyokuwa awali, najua ni mabadiliko ya kiteknolojia, lakini bado sijafahamu haswa sababu ya msingi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni miezi kadhaa aliibuka mzee mzima Dk.Shika a.k.a "Bilionea wa nyumba za lugumi" Kama kawaida mzee aliibuka kama utani na zile ahadi za mabilioni alizoahidi mara ghafla mzee akawa maarufu zaidi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwenu TIRA, Ninawaandikia humu JF kwa kuwa kwenye website yenu link ya kutoa maoni/malalamiko haifanyi kazi. Ninaamini kwa dhati kwamba kama mnatambua vizuri kazi yenu, basi mtaelewa kuwa...
2 Reactions
5 Replies
47K Views
Kuna mchezo fulani wa bahati nasibu ulikuwepo hapa Tz mwaka 2000 ukiitwa 'Jackpot Bingo'. Sijui hatma yake ilikuwa vipi kwani mchezo ulitokomea kusikojulikana hadi leo! Walienda wapi wale wazee?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MOROGORO: Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli nchini (RAHCO) imesema wameomba serikli kuipatia Shilingi milioni 994 kwa ajili ya Ukarabati wa Reli ya Kati uliosababishwa na mvua. Mkurugenzi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nchi hii inasumbuliwa na maadui 3:- ujinga, uwoga na unafiki. Ni kosa gani ametenda nabii Tito? Kucheza rumba? Mbona baikoko na rusha roho zimezagaa mitaani? Hizo singeli ambazo wadada...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Binadamu tunatabia ya kusubiri mtu afe ndio mnaanza kumkumbuka na kumlilia.Je Kwenye maisha yako ni mtu gani utamkumbuka milele .
1 Reactions
25 Replies
2K Views
WAKUU NATANGULIZA SALAM ZANGU KWENU NA TULIJADILI JAMBO HILI KW MAPANA YAKE. Nadhani kumekuwua na ongezeko kubwa sana la wahitimu wa elimu ya juu kwa level ya bachelor na hata diploma kwa kada...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
1. Muda wa alfajiri napunguza mwendo ninapo karibia roundabout, ananiwashia taa kuashiria kuwa niendelee na mwendo mkali, 2. Muda wa jioni kukiwa na giza, nasimama kuruhusu gari inayotaka kuingia...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Marlin Komba amesema hamtambui mtu anayejiita nabii Tito na kwamba hajasajili kanisa lake katika ofisi ya msajili wa taasisi za...
8 Reactions
353 Replies
47K Views
SWALI: Kwanini tunaota? Hesabu zinaonyesha kuwa 3/4 ya maisha ya wanadamu wengi yanaishia usingizini. Lakini cha kushangaza japokuwa mda mwingi tunaumaliza kwenye usingizi lakini mengi yanayokuwa...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Wakuu naomba kuwasilisha.. Makaburi ya Kinondoni yamejaa kiasi kwamba hata sehemu ya kuzikia ni shida. Sana Sana unauziwa eneo kinyemela na ndugu yako kuzikwa juu ya kaburi la miaka mingi na...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom