Jamani watu wa mazingira hili amlioni pamoja na Halmashauri ya jiji letu la DSM imekuwa kero kubwa hasa mitaa ya Posta kupitia Samora Avenue kuanzia mida ya saa moja mpaka mbili harufu mbaya...
Jamani kama kichwa kinavyo eleza niko hapa kigoma zaidi ya wiki 2 sasa maji hayatoki mji mzima ukiuliza sababu wanasema umeme umekatwa watu wanatesa maji hakuna watu wanachota maji ziwani machafu...
Je, Agano ni nini?
Agano ni mapatano baina ya mtu na mtu ama baina ya pande mbili na ambalo linawafunga wote wawili . Agano huwa linaambatana na kanuni za Agano ambazo hazipaswi kuvunjwa na...
Mtoto wako anaenda shule asubuhi kiomita saba toka nyumbani kwako hajala na anatakiwa afuatilie masomo na kushinda mtihani wa kidato cha nne.
Wewe kama mzazi ni vyema utumie akili yako ya...
Nimekuwa nikiona mara kwa mara humu ndani vijana wengi wakilalamika kuhusu costs za sherehe za harusi na kuona kama vile ni kikwazo kwa wao kuweza kuuaga ubachela.
Ninachopenda kuwaambia ni kuwa...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akimpa pole mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Karatu, Moshi Darabe.
Karatu. Wakazi wa Karatu na baadhi ya wabunge wamejitokeza kuaga...
Sumbawanga. Mwanakwaya wa kwaya ya Mtakatifu Secilia, Kigango cha Muze Parokia ya Zimba, Jimbo Katoliki Sumbawanga, Flora Nandi (25) ameanguka na kufariki dunia muda mfupi baada ya kutoa sadaka ya...
Baadhi ya wananchi waishio vijijini wataendelea kusubiri kupata huduma ya maji ya uhakika kwa muda usiojulikana kwasababu ya kukosekana kwa takwimu za utendaji wa vituo vya maji nchini...
Kampuni ya uzalishaji dhahabu ya Acacia Mining imetoa ripoti ya uzalishaji dhahabu kwa robo ya mwisho ya mwaka 2017 (kuanzia tarehe 1 Septemba hadi 31 Disemba) mwaka ikionyesha uzalishaji dhahabu...
Wananchi wa miji ya Shinyanga na Kahama wamekosa maji kwa siku 7 baada ya TANESCO kukata umeme kwenye mtambo wa kusukuma maji uliopo Ziwa Victoria.
Hii ni kutokana na deni la zaidi ya Sh...
Wana JF kwakweli nimeshindwa kuelewa kwanini website ya ofisi kubwa kama Secretarieti ya ajira ktk utumishi wa uma kutopatikana tangu wiki iliyopita. Sijui sababu ni nini lakini kwa taasisi kubwa...
Habari wakuu?nahitaji msaada wa mwenye mawasiliano ya kumpata direct mkurugenzi mkuu wa mfuko wa GEPF, nasumbuliwa stahiki zangu bila sababu ya msingi kwa mwenye nayo naomba ani pm
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima, ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018. Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito''
Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa...
Habari wapendwa
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali wakati ninapotumia google map ila bado sijapata jibu na ukizingatia picha z sattelite zimepigwa mchana kweupe....kwa mwenye uwelewa naomba anijuze
MSAADA WA MUHIMU SANA UNAHITAJIKA
Ndugu zangu heshima iwe kwenu,
Ninachotaka kuwaelezeni hapa ni stori ndefu kidogo kuhusu maisha ya mama mmoja niliyekutana naye huko Serengeti nilipokuwa huko...
Habari za leo waungwana?
Sala na salam zangu ziwashukie kina mama wote duniani, wenye kujua hasa maana ya nomino yenyewe MAMA na wenye kuitendea haki nomino hiyo kama ambavyo chapisho hili...
Habari zenu wanajamvi?
Kuna kitu cha kushangaza sana katika ulimwengu huu uliopotoka, hata pale unapotaka kufanya jambo lako, wakati fulani unalazimika kufanya maamuzi wew kama wewe bila...
Naomba nieleweke hapa namaanisha ndoa (tukio la kiimani) siyo sherehe!
Ukisoma bibilia na vitabu vitakatifu utaona neno lililotumika "AKAMJUA" hii inatafsiliwa kwamba "akamuoa".
Hivyo basi...
Heshima zenu Wakuu, Karibuni ktk Makala hii fupi Kuhusu huyu Kiumbe.
Mamba ni miongoni Mwa Viumbe hatari Zaidi kwa maisha ya Binadamu, Mamba ameorodheshwa miongoni Mwa Viumbe 10 hatari kwa maisha...
Ndipo tulipofikia, maisha yetu yameguwa magumu na kubahatisha mpaka makampuni ya "kubeti" yametengeneza pesa sana kushinda makampuni yote TZ. Yamelipa kodi zaidi kuliko hata makampuni ya simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.