Leo mwanachama mwenzetu wa Chadema amefanya uamuzi mgumu.
Ni mgumu kwa tunaojua hali ilivyo ndani ya chama maana mle kuhoji masuala flani flani huwa ni issue.
Sasa mwenzetu kathubutu kamwandikia...
Huwa nasikia na kuona baadhi ya maeneo mbali mbali wananchi wanabomolewa nyumba zao na maduka yao na kuharibu vitu vya wananchi
1: Nani anaehusika na kulinda mali za raia??
2: Kama wanaobomolewa...
Wadau,
Jana ilikuwa ni siku ya huzuni na majonzi makubwa wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu ya Humphrey Makundi aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Scholatica Moshi na ambaye alifariki katika...
Mbaya zaidi ukishinda kiti kimojawapo kati ya hivyo walahi akili inakutoka..
Ukiwa na utimamu unajiliza maswali kama haya
1. Ukiwa mbunge/diwani unawatumikia wananchi wako kupitia tiketi ya...
Jamani nilishauriwa humuhumu JF ili nifike Dar kutoka Mwanza kwa siku moja nipande basi la Kisbo, wanaJF wakasisitiza hakuna basi linalokimbia kama Kisbo, nami kweli nikakata tiketi ya hilo basi...
Habari za mihangaiko wakuu?
Nimekua nikifuatilia mara kwa mara warsha, sherehe au hata semina zinazousu serikali. Kila inapotokea kuna shughuli yoyote ya kiserikali basi utakuta pale meza kuu...
MAHAKAMANI KISUTU: Puto la Boss wa IPTL tumboni limeisha muda wake, linaweza kugeuka sumu
Wakili wa mmiliki wa IPTL, Harbinder Singh Sethi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Puto...
Bila shaka; kuna mgao wa Umeme unaoendelea kiaina aina hapa nchini japo kuwa TANESCO na Serikali wamekuwa na kigugumizi kuliweka wazi hilo.
Kwa sasa maeneo mengi yanapata umeme hasubuhi kuanzia...
Mambo wakuu
Niende tu moja kwa moja, nimeshangaa kuona watoto bado wanavaa majoho na kofia za "kumaliza shahada"
Hivi lile agizo la Mama la kupiga marufuku uvaaji wa mavazi hayo rasmi kwa elimu...
kwa hisabati za harakaharaka, kila ukimsikia mtu analalamika au anahoji juu ya ugumu wa maisha, mara nyingi utasikia anamalizia na "hata ukipata pesa haikai kabisa"
Nilitegemea kwa hisabati za...
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Amani ya bwana iwe juu.
Wana jamvi rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Nimekuwa nikitafakari kwa mda mrefu juu ya amri ya kutokuongea na simu ndani ya...
Wakuu naomba kuuliza kama bado ni Lazima kuwa na kadi ya chanjo ya yellow fever unapoenda SA
Pia naomba kujua kama kuna kingine cha ziada ukiacha passport yako
Nawasilisha
Wana JF
kuanzia mwezi 10, 2017 hadi mwezi 11 mwishoni nilikuwa masomoni Malawi ila marafiki wengi na ndugu walijua niko around wakitaka tuonene nawachengesha sasa nimemaliza nimerudi leo hii...
*MAAJABU YA SIASA ZA BONGO*
Ni Bongo pekee ambapo viongozi wa *Chama Tawala* ambao badala ya kuisimamia Serikali na Viongozi wake ili watimize majukumu yao, wao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo...
Kwa yeyote aliyekuwepo M city siku ya jana ilikuwa ni siku ya aina yake. Palijaa 'Chekechea' kutoka kila kona ya jiji hili...
Selfie zilikuwa zinapigwa kila mahali. Nilifurahi pia kumuona...
Habari za asubuhi.
Kuanzia juzi wateja wa airtel nikiwapo mimi tulikuwa tunatumiwa sms na kampuni ya airtel wakitujiza kuwa jana usiku kusingekuwa na huduma ya internet sababu ya maboresho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.