Tujitafakari

magis

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
391
590
Hbr wapendwa.
Najiuliza,
Tunaambiwa kanuni ya mwandishi wa habari n kuweka mizania ktk habari husika kwa pande zote.
Mbona sijaona mwandishi yeyote atuhabarishe kuhusu waathirika walivyolipokea hili tukio la msamaha!!!!
Lkn lingine,yupo Mzee Matonya lkn mpaka leo hatuna hata taarifa zake je hii ni sawa?.
 
'..nimeamua kuwaachia familia ya Nguza waliofungwa kifungo cha maisha,kwa kosa la kubaka na kulawiti.! watu wote 'ooyeeehh' na cheers kwa sana!!

dakika chache nyimbo zao zinapigwa kila kona ya nchi

'hapa jf hapatoshi tena,ni Seya na pongezi kwa hiyo ibara ya 45'

aliyependekeza elimu ya degree kwa waandishi wa habari,hilo alilijua.
 
Back
Top Bottom