Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni na Majukumu wanajf! Naitwa CHACHA nipo morogoro ni dereva wa Gari mchanga, Sisi Madereva wa mchanga ktk manispaa ya Morogoro tuna kero jinsi ukusanyaji wa kodi za Manispaa, Watu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niifanyeje simu yangu kwani kila nikiingia internate kuna mijitangazo inajitokeza kila baada ya dakika fulani nisioijua! Inani boa sana. Je kwenu munaipata hii hali au mimitu? Na je nifanyeje...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Mimi naamini kabisa kampuni za betting zote duniani ni za mtu mmoja au system inayoongozwa na genge maalumu wanaoelewana. Na bet zote zinazofanyika zinaonekana kwenye system zao. Nasema hivyo kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijawahi kusikia watu wenzetu wakishikana uchawi wapigaramli wala waganga wa kienyeji wakienda kushika wachawi nyumba kwa nyumba kama huku kwetu Mbozi. Je, Sheria ni kali au kwao hakuna miti ya...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Nimekuwa kimya kwa muda na kwa makusudi ili kujifunza mambo nje ya mitandao ya kijamii lakini nilichojifunza kina ukakasi mwingi mno. Tulikuwa tukipiga kelele wote kutaka mabadiliko bila...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili.. Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama80/90 hivi.... Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na...
13 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanajamvi miaka mingi nimekuwa nikijiuliza ili swali; Inatokea viongozi wa waasi wanajulikana kama wakina Wamba Dia Wamba, Kagame, Charles Taylor, Foday Sankoh, "Papoy" Sam Bockirie, "mosquito"...
0 Reactions
3 Replies
798 Views
Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae...
8 Reactions
433 Replies
76K Views
Kuna tafiti kuwa WANAUME wa Tanzania kumbe wanashika namba moja kwa uaminifu Afrika,Je wajua kuna tafiti kuwa wasokunywa pombe hufa mapema kuliko wanaokunywa na Unajua pia kuwa kama kuna...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar wana JF Toka mwaka mpya uingie sijawahi kuanzisha uzi wowote Jf lakini leo hii nimekuja na huu uzi ili kuwakumbusha wapamabanaji wenzangu juu ya utafutaji wa pesa. Katika utafutaji wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa amesema ujenzi wa barabara ya Mbinga -Mbambabay kiwango cha lami utafanyika kwa kipindi cha miezi 33 na kugharimu zaidi ya Sh129bilioni. Amesema barabara...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
hello wana JF, Tumempoteza kijana ambae bado taifa lilikua linamtegemea, naomba tutumie nafasi hii,kutoa dukuduku zenu,be ndoa,kazi,nk Hapa tuna watu tofauti,na nadhani ma psychologists pia...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
*We are not obliged, even for a second, to try to prove to anybody and especially to blacks and Arabs that we are superior people - we have demonstrated that to the black and Arabs in 1001 ways.*...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wauzaji nyama nchini Uganda pamoja na wateja wao sasa wanategemea nzi kama kielelezo cha kuangalia ubora wa nyama inayouzwa kwenye maduka husika. Hii inafuatia operesheni inayoendeshwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa WanaJF Katika kitabu cha ufunuo 5:1-14 imeweka bayana kuhusu Mungu na kufunua uongo wa ile nadharia inayodai kuwa Baba ndiye Huyo huyo Mwana na kwamba ndiye huyohuyo Roho. Kitabu cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Napenda kujua iwapo mtu kama ataacha kazi leo na alikuwa amejiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii LAPF,je atalipwa pesa yake ya fao la kujitoa? Tumeshauriana na mke wangu aache kazi ili tuimarishe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, huyi mtumishi anaaminika na watu wengi sana hapa nchini. Kusema kweli anao wafuasi wengi sana wa madhehebu na dini mbalimbali. Ila leo nimemsikia na kuniacha hoi alipodai alikwenda...
22 Reactions
416 Replies
56K Views
Jana nilijaribu kufanya biashara na mtu kupitia kupatana akaniletea mzigo samsung j7 prime full boxed, sasa bei ilikuwa 300k nikawa na shaka, na kweli simu mpya! Nikamwambia mshikaji naomba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka ya mid 80's haya mabasi yalitamba na kutawala sana line ya Rombo Marangu Moshi Arusha na hata Dar. Mwenye kumbukumbu atukumbushe hawa wataalam waliishia wapi. Sababu kwa miaka ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika nchi mbali mbali Duniani, na Tanzania ikiwemo, pamekuwa panatokea misuguano ya hapa na pale; Vyombo husika vya serikali vikitaka kuonyeshwa MAPATO na MATUMIZI ya pesa zinazokusanywa (a.k.a...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom