Masaa machache yaliyopita...

Masaa machache yaliyopita...

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..

Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama80/90 hivi....
Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na speed ya gari kuvuka barabara....

Sikutamani kabisa kuona akigongwa..na moyoni nikawa natamani ajitahidi kuongeza mwendo..
Gari likiwa limekaribia kabisa ....

Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka....pumzi ikanishuka.

Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo....

Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo..
Nilipoona kitu mbwa alichodondosha...Nikajifunza somo kubwa sana..
MBWA alidondosha
*Mfupa wa nyama* .....

Simple.....Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!

*Hii ni akili kubwa sana*

*_ACHA MFUPA_*
KUNA MIFUPA TUMEING'ANG'ANIA 2017

TUKIFANIKIWA KUWAJASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA ....MWAKA 2018 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZA
KUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA *2017*

_*NA HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO*_

HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU..
TUSIVUKE 2017 NA MIFUPA YETU.

*TUIDONDOSHE HARAKA SANA*

_UZITO TULIONAO WA KUOMBA MSAADA WA MAWAZO NI MFUPA.._

_KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA.._

_KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA_

_KUTO WAHI KAZINI NA KUTOTIMIZA MAJUKUMU YATU IPASAVYO NI MFUPA_

_KUTO HUDHURIA IBAADA MSIKITINI / KANISANI HUU HATA FISI HAWEZI KUULA_

_KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA_

_KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA_

HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.

*TUDONDOSHE MFUPA....* *ILI 2018 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU*

MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MFUPA INAKUCHELEWESHA.
 
umeandika yote hayo lkn yule mbwa aliurudia ule mfupa😀 watu watarudi 2017 kuokota waliyotupa..maana hata huyo mbwa alibeba kwasababu ya njaa!
 
Dah! ujumbe huu nimeufanyia kazi kabla uzi haujatoka ahsante kwa msisitizo
 
mmmh achen hizi tabia za kucopy vimeseji na kuvipest hapa Jf na kujitia mmeona nyie

mbn msg za kizaman sana hii?
 
umeandika yote hayo lkn yule mbwa aliurudia ule mfupa😀 watu watarudi 2017 kuokota waliyotupa..maana hata huyo mbwa alibeba kwasababu ya njaa!
hahaha haya ndio mawazo ya busara sasa!!...
 
Ila mbwa alirudia mfupa hata tukiacha Kwahali hii tutairudia tu
 
Sema copy and paste kwani utapungukiwa kitu!?
 
Maisha hayana formula, kuna madereva wengine wangepunguza speed hadi 20km/h na huyo mbwa angevuka na mfupa wake bila kugongwa,usitutengenezee kanuni kama za hisabati wakati maisha hayana mathematical formulas
 
umeandika yote hayo lkn yule mbwa aliurudia ule mfupa😀 watu watarudi 2017 kuokota waliyotupa..maana hata huyo mbwa alibeba kwasababu ya njaa!
Umeona mbali sana. Good.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom