Lets say kiwanja changu ni kidogo na nimeshajaza nyumba kiwanja chote, je, nikitaka kuongeza jengo la ziada kwa kuchimba andaki kwa chini na kuingia chini ya kiwanja cha jirani chini kwa chini...
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani, wameomba kukutana na Rais John Magufuli kumweleza matatizo yanayowakabili ikiwamo vipengele wanavyodai kuwa ni kandamizi katika kanuni mpya za leseni za...
MWANAMITINDO wa kimataifa afanyaye shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ajenga madarasa mawili ya shule ya msingi iliyopo katika kijiji cha Msinune kilichopo kata ya Kiwangwa Wilaya ya...
Hili suala mafuta ya petrol na diesel kuendelea kupanda bei wakati katika soko la dunia mafuta bei imeshuka nashindwa kuelewa nafasi ya EWURA katika hii biashara naoana kama wanaongeza bei...
Mimi ni mpenzi wa kusoma gazeti la Nipashe, ingawa wakati mwingine huchapisha makala ambazo hazijafanyiwa uchambuzi wa kutosha.
Chapisho la leo Januari 19, 2018 linatia aibu wa kiuandishi...
Hivi karibuni TRA wameanzisha utaratibu mpya wa jinsi ya kubadili taarifa kwenye kadi ya gari,taratibu za kuzuia uhalifu wa kadi ni mzuri ila mlolongo wake kwa ujumla ni maumivu,unahitaji siku...
Miezi mwili baada ya wanafunzi watano kuuawa na wengine 43 kujeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono katika Shule ya Msingi Kihiga wilayani hapa mkoani Kagera, Kampuni ya Kabanga Nickel imewapa...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzia na Usalama nchini Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo nakuletea Kilio changu Kikubwa Kwako na ambacho...
Jeshi la Polisi: Habari iliyoandikwa na Gazeti la Nipashe kwamba “Polisi wanawakamata wavaa vimini na wanyoa viduku” imepikwa, si ya kweli!. Marufuku ya nguo fupi, Mlegezo, Kiduku na mitindo kwa...
Mkoa wa Mara ni moja ya kati ya inayovuma kwa kuwa na ukatili mkubwa kijinsia na kwa kilimo cha bangi pia.
Majaliwa alitoa nasaha hizo juzi wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara...
Jeshi la polisi wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera linawashikilia walimu wa sekiondari wawili kwa tuhuma za kuoa wanafunzi huku mwalimu wa shule ya msingi Kiholele Adrian Musika akikamatwa kwa...
Habari za jioni wanajukwaa,
Kwamuda mrefu kidogo sasa kiwanda tanjwa hapo juu kimekua na mtaro unaopitisha maji machafu.
Maji hayo yananuka,wito wangu nikwamba mamlaka husika watembelee Tanga...
Ripoti imesomwa kwa kubainisha kuwa hapakuwa na mauaji wala tuhuma zozote za uchawi bali ni ubinafsi wa watumishi wa chumba cha kuhifadhia maiti pale wanapochukua pesa kwa wafiwa kwa lengo la...
Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki...
Habari wadau.
Leo napenda kuweka wazi hili linalonikwaza kwa huyu mkemia mkuu wa serikali.
Ijulikane kwamba kila mwisho wa mwaka mkemia mkuu wa serikali amekuwa akitoa matokeo ya vipimo vya DNA...
Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania, (TUCTA), limesema kuwa serikali inapaswa kuwafikiria na kuwaacha kuendelea na utumishi, watumishi wenye elimu ya darasa la saba.
Limesema kuwa watumishi hao...
Habari wana JF wote! [emoji1538]
Msimu mpya wa elimu umeanza na wanafunzi nao wanaianza safari mpya ya kielimu, miongoni mwao yupo Amidu. Amidu ndio anaanza kidato cha kwanza ila mpaka sasa bado...
Iwe umekutana nao mtaani, usiku,polisi central ama nyumbani kwako tuwekee kisa chako kuhusu usumbufu na majanga ya polisi wetu.....
Mwaka juzi wakati wa sikukuu ya mwaka mpya nikiwa natoka...
Wanabodi habari.
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa nikiwa stendi kuu ya mabasi ya ubungo iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Binafsi kilichotekea ni kitu cha kuhuzunisha japo kinachekesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.