Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natumaini wanajamvi wenzangu wote ni wazima wa afya.Bila ya kupoteza muda turejee katika mada yetu iliopo hapo juu. Leo nlikutana na rafiki yangu nliepotezana nae kwa miaka mingi kutokana na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nyumba ya Katibu wa UVCCM wa Mkoa wa Iringa Bwana Alpanga Muyinga imedaiwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo. VIDEO: BOFYA HAPA
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Tume kuchunguza kutupwa maiti za vichanga Mwananyamala Gedius Rwiza KUFUATIA vifo vya vichanga 10 vilivyokutwa vimefukiwa katika shimo jirani na Hospitali ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Gari pekee la maji ya kuzimia majanga ya Moto yanapotokea linalohudumia mkoa wa Manyara wenye wilaya tano. Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Manyara katika mwaka 2017 limefanikiwa kukusanya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hallo wana jf, naomba kuuuliza sababu hasa inayopelekea mtu pindi aondokapo nyumbani kwa wazazi au walezi wake kutorudi nyuma tena, hii kitu nimeona mara nyingi kwa watu tofauti, awe na maisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari waungwana, Jamiiforums ina kila aina ya wachangia mada, wapo wanaopinga mada husika pia wapo wanaunga mkono mada maana imewafurahisha au kuwaelimisha. Kitu cha pekee ni uchangiaji wa mada...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha vifo vya watu wawili katika wilaya ya Kilosa huku ikiacha zaidi ya kaya 1734 zikikosa makazi baada ya nyumba kubomoka. Pia...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
SERIKALI imetoa masharti ili kuruhusu kuchukuliwa kwa sukari ya viwandani iliyokwama katika Bandari ya Dar es Salaam ili kuviwezesha viwanda vitano vilivyoagiza visifungwe kwa kukosa malighafi ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau? Nahitaji msaada mkubwa sana juu ya suala hili la laini za uwakala. Nilijaribu kuuliza maswali kama mawili miezi ya nyuma kuhusiana na ujasiliamali but i gatta nothing. 1. Okay...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Waungwana, Mwenye kujua vituo ambavyo treni ya mwendokasi (SGR) Dar to Moro atujuze. Pia vituo vya Moro to Makutupora.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Picha ya Marehemu enzi za uhai wake Simanzi na majonzi vimetawala kwa Watanzania waishio nchi China baada ya kuondokewa na Mtanzania mwenzao ndugu HAMIS RUHABAYE. Hamis ambae alikuwa...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
*UKWELI KUHUSU TANZANIA* 1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu msiniulize takwimu, ila ki ukweli na wengi wenu mliojaaliwa kusafiri safiri kama mimi mtakubaliana na mimi kwamba, Wakenya wanajivunia sana Kiswahili sana kuliko sisi waTZ tena hawaoni soni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SENGEREMA: Tani sita za shehena ya samaki wachanga na wazazi aina ya sangara yenye thamani ya Sh24 milioni imekamatwa juzi katika Kijiji cha Kawekamo, Kata ya Nyampande wilayani hapa mkoani...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Kwakweli hili suala linatia ukakasi mkubwa sana, hii ni aibu kubwa kwa taifa, sasa lazima tuamini kwamba serikali yetu haina nia njema kabisa na kulibadili taifa hili, huu sio uungwana hata...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kutokana na hali inayo endelea hapa Dar es Salaam ya watu kukamatwa kutokana na mavazi walio vaa napendekeza yafuatayo. >Serikali itoe mwongozo wa mavazi yanayopaswa kuvaliwa na raia ili kuepuka...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu. Nauliza GT mnisaidie kujibu swali hili. Kwanini mtu anapokufa (fariki) watu hukusanyika kwa ajili ya maandalizi ya kuuzika mwili, lakini kuna wakati inatokea mtu tuliyeaamini...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Hivi karibuni nimesafiri na kwenda nje ya nyumbani kwangu kwa mda mfupi, baada ya kufika hapa mwenyeji akawa busy na mimi ni mgeni kabisa. Nikaona isiwe shida ngoja niende inbox nitafute wenyeji...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Najaribu kutafakari tu hivi watu 100 na zaidi wa humu JF haiwezekani kufanya Jambo la pamoja ambalo Linaweza kutuinua na kufikia LEVEL ya Bakhresa, Rostam au MO. Humu tuna wataalamu wa Kilimo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Plastic bags are containers made up high density polyethylene. Most of us we are familiar with these bags because we use them to carry goods purchased in the shops. In Tanzania plastic bags are...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom