TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,693
Habar wana JF
Toka mwaka mpya uingie sijawahi kuanzisha uzi wowote Jf lakini leo hii nimekuja na huu uzi ili kuwakumbusha wapamabanaji wenzangu juu ya utafutaji wa pesa.
Katika utafutaji wa pesa kuna njia nyingi sana za kujipatia kipato. Ukisoma historia nyingi za matajiri au watu walifanikiwa katika jamii zetu wengi wao waliaanza kwa mitaji midogo mwisho wa siku umasikini umekua na hadithi kwao.
Mada yangu itakua shortcuts kidogo.
Kumeibuka kundi kubwa la vijana kucheza michezo ya patapotea hii si njia salama kwetu kwani inaweza kutusababishia anguko kubwa la kiuchumi.
Tueshimu kidogo tunacho kipata ndicho kinacho tengeneza kikubwa
Tuongeze bidii katika harakati zetu za kujipatia kipato there is no easy money
All the best