Wale wote wenye maumivu fungukeni hapa...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,667
Reaction score
33,685
hello wana JF,

Tumempoteza kijana ambae bado taifa lilikua linamtegemea,

naomba tutumie nafasi hii,kutoa dukuduku zenu,be ndoa,kazi,nk

Hapa tuna watu tofauti,na nadhani ma psychologists pia wapo,

tungependa nyie wataalam mtoe ushauri wenu either hapa barazani au contacts zenu,

lengo ni kuzuia vifo vingine,

ningependa kutoa Rai ,kwa watanzania wenzangu,kama unaona mambo hayaendi sawa SPEAK TO SOMEBODY ,problem shared,is half solved,

wito pia kwa waziri wa afya,please vituo vya afya ya akili viongezwe na pia kuwe na campaign watu waone kutumia hivyo vituo ni kawaida sio udhaifu.....
 
Tokea June 2017 nilipitia wakati mgumu mno katika maisha. Kilichonisaidia ni kutokuta tamaa pia my other half amekuwa msaada mkubwa kwangu pamoja na dada mkubwa.

Ukiwa na tatizo angalia wale watu wanao kumpenda uwa shirikishe. Kuwa pia mwangalifu kutosema matatizo yako kwa kila mtu. Kuna watakayoyatumia kwa manufaa yao.
 
Jamani me nna maumivu ya kuuguliwa na ndugu angu mwezi wa nane sasa ,tatizo kubwa linalomsumbua ni karushiwa mapepo yani kama ni kumpeleka makanisani kuombewa ni mara nyingi ila mapepo yamekataa kutoka,mtu yeyote anaeweza kusolve hii ishu please tusaidiane
 
Mkuu kama mmeshindwa kiroho,jaribu daktari wa kawaida,pole sana.
 
ni kweli mkuu,watu wa kwanza kuwashirikisha ni wale wa karibu yako
 
Huu ndio msaada sasa mkuu? Yani nijimwage shida zangu humuuu then 'Pole Mungu atakusaidia' ndio kusaidiana? Hell NO

humu inakuwa sehemu ya kurelease frustrations,unajuaje hajafaidika kwa ku share tatizo lake humu?,and second nimeita wana psychologist,labda watakuja baadae
 
Mkuu kama mmeshindwa kiroho,jaribu daktari wa kawaida,pole sana.
Asante sana ila cha kuongeza kama ni mahospitali tushampeleka sana hospitali kubwa karibia zote za hapa Tanzania but wanampima hamna ugonjwa,yani ni mateso tupu
 
Jamani me nna maumivu ya kuuguliwa na ndugu angu mwezi wa nane sasa ,tatizo kubwa linalomsumbua ni karushiwa mapepo yani kama ni kumpeleka makanisani kuombewa ni mara nyingi ila mapepo yamekataa kutoka,mtu yeyote anaeweza kusolve hii ishu please tusaidiane
Mmempeleka Makanisa gani?
Je mnaamini juu ya uponyaji wa kiroho?
Au huwa mnampeleka ili kujaribu tu kama atapona?
Maana hili suala lahitaji na wewe ujikane nafsi yako.
 
hello wana JF,

Tumempoteza kijana ambae bado taifa lilikua linamtegemea,

naomba tutumie nafasi hii,kutoa dukuduku zenu,be ndoa,kazi,nk

Hapa tuna watu tofauti,na nadhani ma psychologists pia wapo,

tungependa nyie wataalam mtoe ushauri wenu either hapa barazani au contacts zenu,

lengo ni kuzuia vifo vingine,

ningependa kutoa Rai ,kwa watanzania wenzangu,kama unaona mambo hayaendi sawa SPEAK TO SOMEBODY ,problem shared,is half solved,

wito pia kwa waziri wa afya,please vituo vya afya ya akili viongezwe na pia kuwe na campaign watu waone kutumia hivyo vituo ni kawaida sio udhaifu.....
Lakini yasije kuwa kama ya Erick Kingu na Pili Pili kwa miss shy 2014
 
Nyie wenyewe ndo mnatuongezea frustration kwa kutuita viba100.
BTW uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu tuulinde na kuutetea.
 
Tokea June 2017 nilipitia wakati mgumu mno katika maisha. Kilichonisaidia ni kutokuta tamaa pia my other half amekuwa msaada mkubwa kwangu pamoja na dada mkubwa.

Ukiwa na tatizo angalia wale watu wanao kumpenda uwa shirikishe. Kuwa pia mwangalifu kutosema matatizo yako kwa kila mtu. Kuna watakayoyatumia kwa manufaa yao.
Pole mamiie, mbona hukunshirikisha jaman
 
Mleta mada ungemhoji Le Mutuz amedeal vipi na issue ya dunia nzima kufahamu anamiliki kibamia?
 
Tokea June 2017 nilipitia wakati mgumu mno katika maisha. Kilichonisaidia ni kutokuta tamaa pia my other half amekuwa msaada mkubwa kwangu pamoja na dada mkubwa.

Ukiwa na tatizo angalia wale watu wanao kumpenda uwa shirikishe. Kuwa pia mwangalifu kutosema matatizo yako kwa kila mtu. Kuna watakayoyatumia kwa manufaa yao.
Afadhali nimepata jibu leo ila pole Rafiki
 
hello wana JF,

Tumempoteza kijana ambae bado taifa lilikua linamtegemea,

naomba tutumie nafasi hii,kutoa dukuduku zenu,be ndoa,kazi,nk

Hapa tuna watu tofauti,na nadhani ma psychologists pia wapo,

tungependa nyie wataalam mtoe ushauri wenu either hapa barazani au contacts zenu,

lengo ni kuzuia vifo vingine,

ningependa kutoa Rai ,kwa watanzania wenzangu,kama unaona mambo hayaendi sawa SPEAK TO SOMEBODY ,problem shared,is half solved,

wito pia kwa waziri wa afya,please vituo vya afya ya akili viongezwe na pia kuwe na campaign watu waone kutumia hivyo vituo ni kawaida sio udhaifu.....
Vikifunguliwa vituo vya afya ya akili naombeni nafasi niwatumikie watanzania... Huwa najisikia vizuri sana kila ninapopata nafasi ya kumtoa mtu matatizoni na kuanza upya akiwa na tumaini jipya
 
Back
Top Bottom