Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,293
- 5,910
Nimekuwa kimya kwa muda na kwa makusudi ili kujifunza mambo nje ya mitandao ya kijamii lakini nilichojifunza kina ukakasi mwingi mno.
Tulikuwa tukipiga kelele wote kutaka mabadiliko bila kujiandaa kuendana na mabadiliko tunayoyataka ndiyo maana leo tunaendeleza lawama zilezile na sababu kubwa ni"TULIKUWA TUNAFIKIRI KUWA MABADILIKO YATAENDANA NA MATAKWA YETU TU NA MABADILIKO HAYO HAYATAKUWA NA KANI ZA KUBADILISHA MAZOEA YETU"
Hili ni kosa la kutoangalia jambo kwa mawanda mapana na pande zone"multitude dimensions"jambo lililotufanya tusiwe na maandalizi ya kutosha kupokea mabadiliko na athari zake ni sawa na kusema tulipenda sana Masha ya peponi bila kuangalia njia za kufikia peponi ni zipi na zina changamoto ipi.
Naweza sema hatukukosea ila hatukujiandaa