Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,199
Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania
Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa
"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"
Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,
Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi
Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika