Mwakasege namkubali ila habari za kujifanya kaenda mbinguni na kurudi sitakubaliana na wewe

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,668
Jamani, huyi mtumishi anaaminika na watu wengi sana hapa nchini. Kusema kweli anao wafuasi wengi sana wa madhehebu na dini mbalimbali.

Ila leo nimemsikia na kuniacha hoi alipodai alikwenda mbinguni akaongea na Mungu na Yesu na Musa hapo kaniacha njia panda. Kiukweli ebu atufundishwe biblia na siyo kutumia udhaifu wetu wa kutokujua biblia kutuadaa, inakuhitaji uwe na uwezo mwingine wa ziada kutambua wapi anatoka nje ya maandiko.

Anatumia sana shida na matatizo ya watu kutuchanganya kiukweli sina shida na maandiko anayofundisha kutoka kwenye biblia shaka linakuja pale anapotoa tafisiri za mambo ya duniani na kuyaunganisha na biblia.

Nashangaa kuhubiria uchumi kwa wananchi pasipo kugusia mratibu mkuu wa uchumi (serikali/rais) ambao ndiyo wapanga mambo. Manabii wote wa Mungu walisimama kutetea kwa namna yeyote kupinga udhalimu na mpaka wakati mwingine kuhatarisha maisha yao. Vipi mwakasege, Rusekelo na walimu na wainjilisti wengine hawaoni tatizo kwa tawala za dunia hii hasa Africa.
 
Kama kweli amesema hivyo na akimaanisha hivyo (nina maana hakuwa anatumia misemo au elimu ya mafumbo) basi ni tapeli mkubwa, na wewe huna haja ya kumwamini nusu nusu ila mdharau moja kwa moja. Waganga wa kienyenyi, viongozi wa dini na wanasiasa ni makundi yanayotumia sana uvivu wa watanzania kufikiri ili kujichumia mali.
 
Nimeshangaa sana, kiukweli.
 
Labda alienda kwa njia ya ndoto?
unajuaje?

wachungaji wengi wa kilokole matapeli lakini huyu Mwakasege binafsi namuona ana nafuu sana
Binafsi naenda kwenye semina zake! Shida inakupasa uwe very technical huwa anapitisha issue zake nyingi sana, anajifanya mwalimu mara adai siyo mchungaji anajichanganya sana km mtu unauelewa kidogo juu ya biblia utajua wapi anaingiza issues zake.
 
Mtoa mada, Mwl. Mwakasege ni mwalimu mzuri sana wa biblia, yeye mwenyewe ndo tuu anaweza kufahamu ukweli anaozungumza. Amesaidia wengi sana na ni mtumishi ambaye hana tamaa ya pesa. Kama wewe huna shida usiwakatishe tamaa wengine wenye shida. Siku ukipata shida ndo utajua umuhimu wa watu wa Mungu.
 
kuna siku nilimsindikiza ant yangu pale efatha pale mwenge mtume na nabii mwingira wa kanisa la efatha akasema kuwa alilala porini siku 3 huku simba wakiwa wamemzunguka-alafu akasema kuwa yy ndio alimua nyerere eti kwa kuwa alikuwa nazuia makanisa ya kilokole yasianzishwa tanzania
kwa kweki siku ile nilicheka kicheko kik uhh bwa ndani ya kanisa mpaka watu wakanishangaa
 
Mtoa mada, Mwl. Mwakasege ni mwalimu mzuri sana wa biblia, yeye mwenyewe ndo tuu anaweza kufahamu ukweli anaozungumza. Amesaidia wengi sana na ni mtumishi ambaye hana tamaa ya pesa. Kama wewe huna shida usiwakatishe tamaa wengine wenye shida. Siku ukipata shida ndo utajua umuhimu wa watu wa Mungu.
kwani yy amekataza watu wenye shida wasiende kumuona-alafu anavyosema kuwa mwakasege ni mtu w a mungu kwani ww ni mtu wa shetani!
 
Nimeshangaa sana, kiukweli.
Hamna haja ya kushangaa mkuu. Dunia ya sasa hususani Bongoland kuna kila aina ya utapeli. Ukishaona kitu kama hicho unatimua mbio haraka sana. Hata kama ulikuwa muumini au shabiki wake basi unamtoroka mara moja. BTW watanzania wengi wanadanganyika kwa sababu moja muhimu: Kupenda maisha mazuri bila kuyafanyia kazi! Ukitaka kumpata mtanzania mwambie ''hii dawa inaongeza akili darasani, ukiinywa utafaulu mtihani'.' Lakini ukimwambia ukitaka kufaulu mtihani inabidi kujisomea sana atakuona kama ni tapeli. Kwa kifupi kupenda short cut ndio kunaongoza maisha yetu.
 
Back
Top Bottom