Ufafanuzi kuhusu ukusanyaji wa ushuru wa Serikali

Ufafanuzi kuhusu ukusanyaji wa ushuru wa Serikali

mgaya chacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
497
Reaction score
658
Poleni na Majukumu wanajf!

Naitwa CHACHA nipo morogoro ni dereva wa Gari mchanga,
Sisi Madereva wa mchanga ktk manispaa ya Morogoro tuna kero jinsi ukusanyaji wa kodi za Manispaa, Watu wa Manispaa Wanachukua Tsh 1000 kila Lori mchanga linapoingia na kutoka huku wakutoa Rist za E. F. D kama utaratibu wa Serikali ulivyo kwa sasa Ila Hapo Kuna Ushuru mwingine Eti! Huo ni wa M/KITI NA MTENDAJI WAKE huu sasa Hauna Rist za mashine E. F. D wao wanatoza Kila gari iingiapo na kutoka na mchanga Tsh 2000 huku wakikuandikia Rist kwa Mkono Tumejaribu Kuhoji Tunatishiwa kupigwa Kiuhalisia wananchi wa Eneo hilo La MINDU hawautaki wakadai ni Faida kwa Viongozi wa Mtaa na Siyo kwa Kijiji Rai Yetu Madereva wa tipa Morogoro mjini Tunaomba Viongozi wanaohusika na maswala ya Ukusanyaji wa Ushuru ndani Mji Wa Morogoro Mje mtupe Ufafanuzi kuhusu huu Ushuru maana tunaohoji tunatishiwa kupigwa na magari yetu kutishiwa kuzuiliwa kuchukua mchanga huku, kuna Mapato Mengi sana ya Serikali yanapotea ikiwemo ikiwemo na Ukusanyaji wa Ushuru wa Madini wanatoza Tsh 7000 wengine 6000 wengine 8000 wengine 5000 yaani hakuna kiwango Maalum pia hawa nao Hawana mashine ya E. F. D wanatumia Vitabu vya kawaida madharani kila Tipa inapakia tiripu 5 kwa siku 1 Na Tipa kwa Ujumla zipo 190 ndani morogoro mjini pekee ni kiasi Gani? Serikali Inapoteza mapato yake Wahusika Shughulikieni Hili mimi nipo Tayari kutoa Ushirikiano kwenu Yapo Maovu mengi kwenye Biashara.

HII NI SADAKA NIMEJITOA KUSAIDIA WENZANGU MAANA VITISHO NI VINGI.
 
Back
Top Bottom