Tafiti zinapingwa kwa tafiti. Angalia tafiti hizi nzuri kwetu

kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,232
2,481
Kuna tafiti kuwa WANAUME wa Tanzania kumbe wanashika namba moja kwa uaminifu Afrika,Je wajua kuna tafiti kuwa wasokunywa pombe hufa mapema kuliko wanaokunywa na Unajua pia kuwa kama kuna Padre/Mchingaji ambaye hana kazi nyingine zaidi ya kuhubiri ni mwizi kwani Peter, Yohana na Yesu wote walikuwa na kazi nyingine.Je ni kweli kuwa mwezi wa januari huwa mgumu kimaisha kuliko miezi mingine!
tafiti-faithfulmen.jpg
tafiti-kuoa.jpg
tafiti kunywa.jpg
tafiti-january.jpg
tafiti-mchungaji.jpg
Vipi una tafiti nyingine unazozifahamu!!
 
Kuna tafiti kuwa WANAUME wa Tanzania kumbe wanashika namba moja kwa uaminifu Afrika,Je wajua kuna tafiti kuwa wasokunywa pombe hufa mapema kuliko wanaokunywa na Unajua pia kuwa kama kuna Padre/Mchingaji ambaye hana kazi nyingine zaidi ya kuhubiri ni mwizi kwani Peter, Yohana na Yesu wote walikuwa na kazi nyingine.Je ni kweli kuwa mwezi wa januari huwa mgumu kimaisha kuliko miezi mingine!View attachment 669169 View attachment 669170 View attachment 669171 View attachment 669172 View attachment 669173 Vipi una tafiti nyingine unazozifahamu!!
Peter, Yohana na Yesu kuwa na kazi nyingine tofauti na injili ni uongo wa Rawlings, baada ya kuitwa kufanya kazi ya injili wote waliacha kazi zao za zamani. Onyesha kwenye injili Yesu baada ya kuanza kuhubiri alirudia kazi ya useremala.
Peter alirudia kwenda kuvua baada ya Yesu kusulubiwa, mwambie muongo kama siyo wewe
 
Petro badala ya kuvua samaki alianza kuvua watu na hasa wakosefu
Peter, Yohana na Yesu kuwa na kazi nyingine tofauti na injili ni uongo wa Rawlings, baada ya kuitwa kufanya kazi ya injili wote waliacha kazi zao za zamani. Onyesha kwenye injili Yesu baada ya kuanza kuhubiri alirudia kazi ya useremala.
Peter alirudia kwenda kuvua baada ya Yesu kusulubiwa, mwambie muongo kama siyo wewe
 
angalau umeshika namba ya kwanza kwa uaminfu katika ndoa.tumeshika namba moja na isingekuwa utundu wa kina diamond tungekuwa wa kwanza Duniani
 
Kweli mpinga Kristo yu karibu, kwahiyo yooote hiyo ili watu wasimtumikie Mungu pekee, wasioe? wajitajidi kutumia vileo? ama kweli watafiti wa kizazi hiki. Ipo siku tutaambiwa mwanaume nyuma ni mtamu kuliko mwanamke mbele
 
Ngoja nimpigie nimuulize babu yangu anakaribi 90 nw akinambia kwamba aliwahi kunywa pombe napitia kreti moja kwa ngosha sasa hivi nikishuka kwa gari....nani anataka afe younger!!!!!FUKKK
 
Najivunia kuwa mtanzania na leo nipo jf but mi sinywi pombe jaman ina maana nitadie mapena
Uwezekano ni mkubwa coz kama hunywi na ukakumbana na mambo ya stress ni unapoteza energy na seli nyingi katika kukabiliana nazo tofauti na mnywaji ambaye hukimbilia kujifariji na pombe,just as kulia kwa mwanamke
 
Kweli mpinga Kristo yu karibu, kwahiyo yooote hiyo ili watu wasimtumikie Mungu pekee, wasioe? wajitajidi kutumia vileo? ama kweli watafiti wa kizazi hiki. Ipo siku tutaambiwa mwanaume nyuma ni mtamu kuliko mwanamke mbele
kitaan ndo umegeuka msemo mkikorofishana kidogo tu utasiki ""ntakufila we msenge""
 
Back
Top Bottom