TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
Wadau,
Kuna Bahati Nasibu mpya imeingia inaitwa TATU MZUKA. Sina uhakika ni kampuni gani hasa inayochezesha hii Bahati Nasibu ila kila nikiiangalia uchezeshaji wake naona kabisa kuna kitu hakiko...
Naomba msaada wana jf wa guest za kulala naenda tabora chuo cha utumishi wa umma nipo kwenye muro na tabora ndo Mara ya 1 kufika, kama kuna MTU anajua guest ya kulala kuanzia 15-20 unaweza ukani...
Natumai wote muwazima, na pia familia zenu, na marafiki wanaendelea vyema.
Mimi nina swali linanitatiza juu ya uhamiaji, nimeomba passport baada ya kupotea mbaya zaidi wameizuia kwa muda wa miezi...
Hifadhi ni muhimu ndani ya jamii na kwamba katika mpango wa matumizi bora ya ardhi hifadhi ni sehemu ya mpango huo
Kumekuwepo na malalamiko ya wakulima Kiteto kuhusu uanzishwaji wa hifadhi...
heshima kwenu wakuu.
leo mm namulaani shetani kwa lugha ya kwetu,
shetani huna mamulaka mbinguni na duniani
shetani udenabudula ngwilunde na hase.
twende tukamlaani shetani mpaka akome.
Habari wana JF...
Hope mpo poa, ambao mpo kazini poleni na kazi na kazi njema ambao mpo vijiweni namatakia mcha mwema..
Km heading hapo au mada hapo naomba kujua.. nini maana ya mwaka...
Jana katika mahakama ya Mwanza walifikishwa watu wawili waliopora na kuhujumu nchi kwa kutumia kalama mali ya Nyanza.
Watu hawa wawili ni Anatory Zacharia na Kilumile wote wakiwa wanachama wa...
1.Ni rahisi kupanda cheo.
Mwaka 2010 kaka yangu alipangiwa kazi mkoa mmoja hakuchukua hata miaka 5 akawa mkuu wa idara wenzake waliobaki DSM hadi leo wako pale pale.
2. Fursa za kusoma.
Watumishi...
Inawezekana huu ni mwendelezo wa wizi unaohalalishwa bila sababu za msingi
Nasikia kuna bodi ya kusimamia hii michezo bila shaka imeundwa na serikali
Watu wanaoshinda michezo hii ni wachache...
Shirikisho la Vyama Vya wafanyakazi Nchini, TUCTA, limekutana na baadhi viongozi wa serikali kujadili hatma ya watumishi waliondolewa kazini na Serikali kutokana na vyeti feki .
Ambapo Katibu...
Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa, kimeombwa kutoa msaada wa haraka kwa wakazi wa wilaya ya Chemba, ambao wamekumbwa na mafuriko yaliyosababisha kukosa makazi, baada ya nyumba zao kuathiriwa...
Imagine,ulikuwa umekwama,huna unalotegemea ndani ya uwezo wako linaloweza kukukwamua hapo ulipo,kila mtu unampigia simu unamkopa pay,anakwambia sina,na wengine ambao wamekwambia sina,sio kwamba...
Kichwa kimejivua hicho wana JF,
Hapa ninamaanisha media zote zilizoamua ama kuamrishwa kuwatangaza washindi wa kamari ya TATUMZUKA na BIKO kuwa wasitutangazie washindi pekee kanakwamba washindwa...
Majuzi nimesafiri kwa kujiendesha mwenyewe toka mikoani hadi Dar.
Kwa vile niliondoka huko Igunga mida ya saa tano hivi, kufika Dodoma tayari giza ilishaanza.
Kilichonistua ni si tu wingi wa...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa mabinti warembo na vijana wenye muonekano mzuri wanaweza kutumika katika kazi za ukarimu na kusaidia kuleta sifa...
Nimeona kwenye Habari za saa ITV...eti wakulima wamemsimamisha waziri kisa wadudu wa kawaida-funza wale wanakula mazao kule Iringa na Njombe wanaita MBENG'I ambao ukipiga dawa tu wanakufa,na ni...
Kama Uganda wamefanikiwa vifo vya uzazi kwa mwaka kinatokea kimoja naamini hata Tz tunaweza ikiwezekana hata kwa mwaka kisiwepo hata kimoja.
Inakatisha tamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.