Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninapenda kuwakumbusha watumishi wa umma agenda ya haki na wajibu. Haki zenu zimeboreshwa na mnazipata kwa wakati hivyo mna wajibu wa kutuhudimia kulingana na mkataba wenu wa ajira.. Serikali...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
MKURUGENZI MKUU TEA amepongeza Kampuni ya watumishi housing kwa ujenzi Wa Nyumba hizo mbili ambazo ziko katika hatua za mwisho kukamilika. Amewataka kukamilisha ujenzi Kwa wakati ili wazikabidhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika haki isiyo ya kawaida ninapotaka kununua umeme kutoka kwa mawakala ninalazimika kumhonga kiasi cha fedha kulingana na kiasi cha fedha ya kununulia umeme! Mimi hununua wa shs.elfusitini...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu watatu wamenusurika kifo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara baada ya trekta walilokuwa wamepanda kukatika tella na kuanguka. Tukio hilo limetokea kata ya Namelock Wilayani Kiteto wakati watu hao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zamani nyama za kichwa, miguu ya kuku, utumbo, vichwa , mikia, ubongo, kwato and the like vilikuwa ni vyakula/nyama za mbwa/ vya mbwa. Siku hizi Tandale and the other such places wanakula hayo...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
Wakati mwingine tuwe tunatumia akili kidogo, Mohamed Dewji kawashukuru waliomteka kwa kuamua kumuachia usiku wa manane wakati tuliokuwa tukisikitika, tuliokuwa tukiomba, tuliokuwa tukiliaa na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
#HABARI Baada ya afya yake kuimarika, Mama Janeth Magufuli aibukia kanisani. ==== Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli leo Jumapili ameungana na Wakristo wenzake...
1 Reactions
43 Replies
19K Views
Ajali hii ni mbaya, imetokea eneo la Njirii Manyoni. Ambapo Gari ndogo, ya Wizara ya Kilimo na Chakula, iliyokua imebeba Wataam w4 pamoja na Dereva Wote wamefariki papo hapo. Wanaume watatu, na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwinjilisti wa Kanisa wa Kanisa LA Kilokole la AGT,William Lemomo mwenye umri wa Miaka 54 Mkazi wa Mswakini Juu ,wilayani Monduli,Mkoani Arusha amefariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina tani saba za mahindi kwa Bei ya 2.8ml. Mahindi ni masafi meupe yanangaa sana, Niko songea.
0 Reactions
1 Replies
820 Views
*CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI* 21 Oktoba 2018 Katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Ukiwa Tajiri au influential person kuna aina ya maisha unapaswa kuishi na kuna vitu hupasi kufanya kama mimi mwananchi mnyonge wa manzese kwa mfuga mbwa au wa mwananyamala kisiwani Mh huyu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Minara na vinyago bora 18 vyenye maumbo ya 3D villivyopo katika mitaa mbalimbali ya nchi tofauti tofauti duniani.
4 Reactions
10 Replies
2K Views
wapendwa(wakuu) kaama unamdogo wako alie omba kujiunga na Udsm mwambie angalie acount upya kwani kuna watu wamepunguzwa jioni njema
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania wote hata kama itakuwa kidogo, lakini something is better than nothing, utaishi ndani ya mioyo ya wananchi kama shujaa wao. Itoe kwa mpangilio wa makundi. 1. Wafanyakazi serikalini na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika mipango ambayo ni pasua kichwa kwa sasa, ni huu mpango mpya wa lukuvi wa kurasimisha makazi kwa makazi holela. Ipo nia njema kabisa ya mh. Lukuvi kuanzisha utaratibu huu lakini utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nipo serious kwa yeyote atakayenielekeza nitamtumia taslimu 10,000 nahitaji habari nyingine hizi za MO naona kichwa changu ni kidogo hakizielewi. Najua pia BAN itasaidia ila mods msinifanyie hivyo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom