WanajF Salaam
Si mara moja au mara mbili pengine tumewahi kukumbana na kadhia hii katika harakati zetu za kusaka maisha.
Wakati fulani,tumekuwa katika wakati mgumu wa kufanya maamuzi hasa pale...
Ile bilioni kuipata ilikuwa ni next to impossible. Bahati nzuri Mungu hamtupi mja wake, amekuja na dili la uhakika zaidi, hili halina longolongo.
Hizi sasa ndiyo zinaitwa hela.
Najiuliza sana kwamba huko alipo je kakalishwa chini, yaan kwenye zuria huku akimwagiwa maji usoni huku amefungwa kitambaa Na kutishiwa kusema??
Najiuliza kaka kwenye kiti anapigwa mijeledi ya...
Hii habari ya akina Deo Mwanyika na watumishi wengine wa Acacia Mining na wa Serikali kushtakiwa kwa makosa ya kuhujumu uchumi ni habari kubwa kuliko ambavyo imepokelewa na vyombo vya habari na...
Dear Jf members, poleni na majukumu. Tafadhali, naomba msaada namna ya kupata visa ya Australia. Nasikia hapa nchini hamna ubalozi na visa ni mpaka Afrika Kusini. Tafadhali yeyote anayefahamu...
Mnaweza mkashangaa lakini hakuna jipya chini ya jua.Kumekuwepo na tabia mbaya miongoni mwa watumishi wa kada mbalimbali hasa utapeli wa namna zozote.
Mimi leo ninahitaji mawazo juu ya hatua zipi...
Kwanza tujikumbushe Majina ya Wakuu wa Jeshi la Polisi tokea uhuru:
Elangwa N.Shaidi 1964 - 1970.
Hamza Azizi 1970 - 1973
Samwel H. Pundugu 1973 - 1975.
Philemon N. Mgaya 1975 - 1980...
Mwaka jana mwalimu Cindy Clifton mwenye umri wa miaka 41 alikabiliwa na kifungo cha muda mrefu jela kwa kosa la kuwanywesha pombe wanafunzi wake wa 11 wa kiume wenye umri kati ya miaka 14 na 17 na...
Mmelala usiku mkikoroma na kukumbatiana huku jeshi likiwalinda, alafu baadhi ya watu wanaanza kulikejeli.
Tuache maneno hiyo ,tujikite ktk kutoa taarifa za uhalifu ili jeshi lizifanyie kazi...
Sasa hivi kila biashara utayogusa utakuta Mo Dewji naye katia maguu...
Sasa sie wengine wenye vimitaji vidogo tufanye biashara gani? Jamani, mliokwisha tajirika tupeni nafasi na sie watoto wa...
Kutokana na lawama nyingi ambazo watu huzisema kwa waandishi Wa habari wetu kwamba: Baadhi yao huwa wanauliza maswali yasiyo na tija Pindi wanaPokutana na Viongozi mbalimbali;
Kwenye Press ya...
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji.
Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi.
Ni kweli Wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
Habari yamapili wana jf
Nimekua nikikuna kichwa sana kutaka kujua ni mtu alifikiria nini kujiita jina fulani kama Id yake ama kuweka avatar fulani.
Tukianza na mm avatar ni picha ya jamaa wa...
Tafadhali kichwa cha habari hapo juu kinahusu wito kwenu Tricode Online Tv .
Kazi zenu za maswala ya conspiracies na mambo mengine ya uelewa wa dunia ya ndani(deep world) kwa kiasi fulani...
Serikali kupitia Wizara ya Madini imepiga marufuku usafirishwaji wa kaboni kwa ajili ya kuchenjulia madini ya dhahabu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine na kusisitiza kuwa haitasita kumchukulia hatua...
Huku ndiko Dunia yetu inapokwenda kwa sasa! Huyu mzazi si mwenye kipato kikubwa ni mwenye hali ya kipato cha kawaida sana. Anaitwa mzee OJOHI MASINA mzaliwa wa Utegi, ni mkazi wa Kambi hii ya...
Baada ya Jana kusikiliza press ya IGP nilisema kabisa..watekaji wamebanwa kila kona na soon Polish watawapata na ndicho kilichotokea..
Vijana wenzangu tuwe na uzalendo na kujikubali..ujanza sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.