.Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema EU inapania kuzindua ushirikiano mpya kati yake na Umoja wa Afrika...
Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) unamdharau Mkuu wa nchi! Mwezi Juni, 2018 wakati wa uzinduzi wa Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo awamu ya pili (SADP II), jijini Dar es Salaam...
Kuna best yangu kaniuliza ila nikawa sina jibu la uhakika la kumpatia.katika maombi ya kuomba rehema kwa Mungu ni lazima uwekewe mkono kichwan na pastor au waweza jiombea mwenye na Mungu...
Ofisi ya NSSF wilaya ya Masasi utendaji wao wa kazi hauridhishi kwani ukiuliza taarifa zako kama mwanachama wao huja juu kwa kufokafoka na kutoa visingizio visivyo na pia kusingizia taarifa kuwepo...
leo asubuhi mida ya saa 12 na nusu nimekuta zogo kubwa kweli kuhusiana na mchango wa kununua umeme kwenye nyumba moja, si unajua nyumba zenye wapangaji wengi. jamaa walikuwa wanakoromeana ile...
UELEWA mdogo katika masuala ya kodi umetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wengi kuona ulipaji kodi ni mzigo. Akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa...
Ninapoongea mpaka sasa mamba kaleta madhara makubwa ndani ya nyumba !!! Mama moja jirani alisikika akisema mwenye nyumba alikaleta ka mjusi na kuanza kukafuga kiukweli kalikuwa ka mjusi ila kadri...
Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ?
Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Imtu, Daniel Mabisi (28) anadaiwa kujinyonga kutokana na kufeli mitihani.
Mabisi ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mgeninani, Kata ya Kijichi wilayani anadaiwa...
Mzee rungwe Kwa masikitiko anaeleza kuwa binti yake Na mkwee walitekwa. Lakini watekaji awakutaka chochote toka kwake .walikaa Na mwanae wiki kisha kumtupa usiku mitaa ya sinza .pia mkwee walikaa...
Miaka ya zamani ilikuwa watu wanakufa saana kutokana na hii issue ya mumiani yani ukamataji na unyonyaji damu hadi kufa
Miaka ya hivi karibuni kampeni za kuchangia damu kwa hiari zilipoanza hili...
INASEMEKANA
Pato lao kwa siku Ni zaidi ya million 75 tsh.
Kusanyo la kituo cha kimara peke yake Ni zaidi ya Tsh 35 million.
Mwendokasi ulipa Kodi ya barabara ya Tsh million 9 kwa serikali kila...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh Milioni 1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.
Sugu...
Miongoni mwa watu bilioni 1.3 wanaoishi katika aina mbalimbali za umaskini kote duniani, milioni 560 wapo barani Africa.
Soma ripoti mpya ya @undp na @ophi_oxford: The 2018 Global Multidimensional...
Miaka hiyooi mjomba alimiliki Land Rover 109 kule kijijini. Aliuziwa na mzungu mmoja aliyekuwa anarudi kwao Ulaya. Ile gari ilimfanya mjomba awe kama mfalme pale kijijini. Asubuhi wenye mizigo ya...
Habari wanaJf,
Nawaletea vichekesho vifuatavyo ambavyo kama una-IQ ndogo huwezi kucheka kwa sababu hutoelewa kitu. Endelea;
Kichekesho namba 1:
Newton, Einstein na Pascal walikuwa wakicheza...
Natalie Wambui Binti mwenye Umri wa miaka 10 tu hivi sasa ameonyesha kuwa kumbe huhitaji kuwa ' Jitu Zima ' na kuanza kufanya ' maajabu ' ambapo hadi hivi sasa ameshaweza Kuandika Vitabu Vitatu...
Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa ufafanuzi kuwa mtoto ni mtu aliye na umri chini ya miaka 18. Kimsingi, ndoa za utotoni ni muungano ambapo kati ya bibi au bwana harusi mmojawapo huwa chini ya...
Hongereni kwa ku enjoy weekend, na kuweka mikakati mingine ya week inayofuata ikiwa tumebakiza miezi miwili na siku 11 tu kuanza mwaka 2019.
Nina omba mwenye uelewa juu ya rotary clubs zilizopo...
Habari za Jumapili wanaJF
Kwanza kabisa tumshukuru Muumba kwa kuwa ndiye mwenye dhamana ya kutuweka tulivyo hata sasa (kama unaamini hivyo).
Leo ni Jumapili tulivu na pengine yenye furaha kiasi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.