MKURUGENZI MKUU TEA amepongeza Kampuni ya watumishi housing kwa ujenzi wa nyumba za walimu Simanjiro

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
MKURUGENZI MKUU TEA amepongeza Kampuni ya watumishi housing kwa ujenzi Wa Nyumba hizo mbili ambazo ziko katika hatua za mwisho kukamilika.

Amewataka kukamilisha ujenzi Kwa wakati ili wazikabidhi kwa Halmashauri ziweze kutumiwa na walimu kama ilivyokusudiwa

Kwa upande wake Mkurugenzi wa halm ya Simanjiro, Yefred Myenzi amemshukuru Mkurugenzi wa TEA na kuelezea kuwa nyumba hizo ni ukombozi kwa walimu kwa kuwa eneo hilo lina uhaba mkubwa Wa nyumba za walimu

Ameomba TEA kuendelea kuisaidia Halmashauri katika ujenzi wa miundombinu ili kuendelea kusogeza huduma ya elimu kwa jamii ya wafugaji ambao bado wako nyuma kielimu..
 
Picha basi hata tofali tu za hizo nyumba ili tuende sawa

Back
Top Bottom