Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kununua hisa kwenye haya makampuni ya michezo ya kubahatisha apa nchini tafadhali karibu sana unipe maelekezo ya nini cha kufanya na vigezo pamoja na masharti...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kampuni ya kusindika pombe ya Kiasili Darbrew maarufu kama Chibuku iliyopo Ubungo imesitisha uzalishaji wa pombe hiyo tangu mwezi huu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu na soko kudorora...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Hapa tuwe makini na hizi toyota surf ,nimegundua hilo na Roma mkatoliki aulizwe ni lilelile au lingine kwa MAJITU yavuruge AMANI yetu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa cnn, Trump amenukuliwa akisema hayo! Vita baridi inajirejesha...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Habari ndugu zangu, Kama Kichwa cha habari Kisemavyo, Nataka kununua Diamond Ring, Ila Nahofia Kukutana Na Wapigaji, Naomba Muongozo Ili niweze Kupata Jiwe Nzuri, Budget yangu ni Tsh Mil 2.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kuna tetesi zilianza kusambaa kwamba kufuatia sakata la kutekwa kwa bilionea Mohamed Dewji, kuna mabadiliko ya nafasi za baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi nchini ambapo Kamanda wa Polisi...
5 Reactions
68 Replies
13K Views
Hey! I created a YouTube group chat so that we can share videos more easily. :) Join here:
0 Reactions
5 Replies
751 Views
Kutekwa na watu wasiojulikana ni hatari na kitendo kinachoogofya sana. Unaendesha gari mara paaapu unaona watu wanakusimamisha mbele barabarani katikati ya pori au tu sehemu yoyote tulivu iliyo...
7 Reactions
129 Replies
16K Views
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania. Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania. Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amesema ipo haja kwa kila shule kujenga vyoo maalumu kwa ajili ya matumizi ya mtoto wa kike. Akiongea katika hafla ya changizo la kupata taulo za kike...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Nimejifunza duniani kuna aina mbili ya watu kwenye hali za uchumi; kuna wale wanaouliza bei ya bidhaa au huduma kabla hawajanunua na wale ambao wanachukua bidhaa au kutumia huduma wakiwa na na...
3 Reactions
8 Replies
867 Views
....kwa wenzetu mambo fulani ya kina Mshana Jr yanaendelea. Jisomee hapa BBC News | New York witches place hex on Brett Kavanaugh - Ikigoma kufunguka Google "NewYork witches place hex on Brett"
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna Mabadiliko yoyote wakuu
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Katika maisha usikae tu gizani huonekan na husikiki. Mnapoona watu wanagombania vyeo na kupata utajiri ni sababu wanatafuta ID katika maisha. Sasa wewe baki umejikunyata kama kifaranga...
39 Reactions
65 Replies
12K Views
Kama inavyofahamika kuwa kuomba nakala ya hukumu ni haki ya mtu anayeiomba. Kuna Ndugu yangu aliomba nakala ya hukumu yake lakini alikuja kuipata baada ya muda mrefu kupita. Pili alipoipata hiyo...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Ndugu zangu Habari za muda huu.... Kama mada inavyojieleza ninaomba kuwasilisha kama ilivyo. Wasomaji na wachangiaji wa 'thridi' hii wanatakiwa kujadili mada hii katika msingi wa MALENGO YA ELIMU...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Inakuwaje mmeweweka ukomo wa sh.elfu arobaini kwa siku ilihali gharama za matibabu zipo juu,naomba mfikilie mara mbili kama kweli lengo la mfuko huu ni kutusaidia watu wa hali ya chini,sasa kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natumai mu wazima! Naitaji vijana wa kufanya nao kazi za recovery kwenye ushirika walioko kanda ya ziwa kama una miaka 25-40 na una elimu kuanzia form 6 mpk degree, na una uzoefu wa kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
WanajF Salaam Si mara moja au mara mbili pengine tumewahi kukumbana na kadhia hii katika harakati zetu za kusaka maisha. Wakati fulani,tumekuwa katika wakati mgumu wa kufanya maamuzi hasa pale...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom