MO kama kweli hukutoa Ransom, Bilioni 1 wape hawa

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
2,287
793
Watanzania wote hata kama itakuwa kidogo, lakini something is better than nothing, utaishi ndani ya mioyo ya wananchi kama shujaa wao. Itoe kwa mpangilio wa makundi.

1. Wafanyakazi serikalini na binafsi kupitia waajiri wao.
2. Wakulima na wafanyabiashara kupitia vyama vyao
3. Wanafunzi kupitia vyuo na mashule
4. Watoto wanaoishi mazingira duni na yatima kupitia vikundi na asasi husika

NB. Husifanye kosa kimpa mtu mmpja au wawili utakuwa umeleta mgawanyiko wa vyama nk.
Kumbuka kuna watu ambao wapo makundi zaidi ya moja hapo juu.
 
Vyuma vikikaza ni hatar sana. Sasa hiyo Pesa lazima watu wengi watakakosa MI Nadhan atoa misaada ya vitu na siyo kutoa Pesa.
 
Thubutu yenu.

Pesa imechukuliwa zaidi ya hio.
Bashite na Magu mnawajua ama mnawasikia?
Tena Mo hakuwa mbali alikuwa kwenye majengo ya Ikulu.
 
Makontena ya fenicha za hotel za walimu zikikombolewa pale bandarini ndio utakuwa mchango wa maana kwa jamii ya kichatu chato
 
Back
Top Bottom