Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.