Msaada: Jinsi ya kublock threads zote zinazohusu MO

Kiparuanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
1,668
Reaction score
2,585
Nipo serious kwa yeyote atakayenielekeza nitamtumia taslimu 10,000 nahitaji habari nyingine hizi za MO naona kichwa changu ni kidogo hakizielewi.
Najua pia BAN itasaidia ila mods msinifanyie hivyo tafadhali.
 
Hata ya kwako nayo inahusu MO na pengine inawakera wenzako kama wewe.
Ukishataja MO tu maana hiyo thread inahusu MO.
 
Nipo serious kwa yeyote atakayenielekeza nitamtumia taslimu 10,000 nahitaji habari nyingine hizi za MO naona kichwa changu ni kidogo hakizielewi.
Najua pia BAN itasaidia ila mods msinifanyie hivyo tafadhali.
Uninstall jf kwenye sim yako
 
Nikikufundisha kublock mtu mwenye nyuzi hizo unanipa shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom