Kwa style hii kwanini usitekwe

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Ukiwa Tajiri au influential person kuna aina ya maisha unapaswa kuishi na kuna vitu hupasi kufanya kama mimi mwananchi mnyonge wa manzese kwa mfuga mbwa au wa mwananyamala kisiwani

Mh huyu amekuwa akipigwa picha akiwa kwenye usafiri wa bodaboda mara kadhaa akijaribu kuwahi mishe zake akikwepa foleni za jiji la makonda

Na inasemekana amekuwa akifanya mazoezi ya jogging pekee yake bila ya mlinzi

Kwa style hii kwann usitekwe na wenye nia ovu


Ukishakuwa billionea au mtu mashuhuri maisha yako yanatakiwa kuwa kama kuku wa kizungu ,maisha ya uhuru tuachieni sie wa temeke mikoroshini



DOfkYcTW0AAeoDK-1.jpg
tapatalk_1540058414331.jpeg
tapatalk_1540057995187.jpeg

Gwajima
 
Kwani hiyo hela anatembea nayo mfukoni?mi naona kwa kuwa ni mtu wa watu toka kitambo ni life style aliojitengenezea na usishangae na bado akaendelea na life style hiyo hiyo kama kawaida
 
Umeandika kweli tupu.
Tajiri hatakiwi kijiachia kirahisi rahisi.
Na ni hatari zaidi kama anatembea peke yake wakati ambao hakuna watu, kama alfajiri sana. Ukidhurika huwa hakuna watu wa kukusaidia.
Unajua maisha ya kujifungia kwa kijana hayana fulaha sana, kuna mambo flani ya mtaani unayakosa.
Kwa tajiri ni hatari kutembea bila walinzi na pia sehemu ambazo hazina watu mara kwa mara hadi unacholewa mchoro wa kukuteka.
Pia kama tajiri usiwe inazoea kwenda mahala pamoja kila siku na kwa wakati mmoja.
Ishi kama matajiri wenzako
 
WALINZI BORA NI WALE TU WATAKAO WEZA PAMBANA NA ISRAEL MTOA ROHO. HATUJUI MAISHA YA MO KIUNDANI ZAIDI KWA SABABU HATUONI UMUHIMU WAKE KUJUA MAISHA YA MTU BINAFSI, ILA KWA WATEKAJI WANGEJUA A TO ILI WATUMIE SEHEMU WATAKAYOONA INA UDHAIFU. VILE VILE ANGETEMBEA NA ULINZI MKALI BADO MGESEMA KUHUSU MWENYE NACHO NA ASIYE NACHO.
 
Je, unawazungumziaje wale masikini wanaoishi kama Million $ dudes?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom