Zamani nyama za kichwa, miguu ya kuku, utumbo, vichwa , mikia, ubongo, kwato and the like vilikuwa ni vyakula/nyama za mbwa/ vya mbwa. Siku hizi Tandale and the other such places wanakula hayo malapulapu ya mbwa.
Nimekwenda machinjioni kutafuta hayo malapulapu kidogo nipigwe niliposema natafuta malapulapu ya mbwa!
Nimekwenda machinjioni kutafuta hayo malapulapu kidogo nipigwe niliposema natafuta malapulapu ya mbwa!