Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na BBC Swahili MV Nyerere: Familia yangu iliandaa mazishi yangu Jina la Injinia Augustine Cherehani lilianza kuvuma katika vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania siku tatu baada ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwandishi na mwenye kisa cha wimbo huu anaitwa Horatio Spafford na aliishi miaka 60 kati ya mwaka 1828 hadi 1888. Mtunzi wa wimbo yaani aliyetafutia vokali/sauti anaitwa Phillip Bliss lakini...
27 Reactions
50 Replies
13K Views
Sisi wa mikoani tunaomba mlioko Dar es salaam hasa maeneo husika kutofautisha hizi picha ipi ni Flyover ya tazara hapa? Maana ubishi umezidi hapa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Chama cha wafanyabiashara wa Madini nchini TAMIDA, kwa kushirikiana na taasisi ya Mgunduzi wa Madini ya Tanzanite ya Founder Foundation wameanza maandalizi ya kumuenzi mwasisi wa Madini ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Tamko la Mo kupotea lilileta tafrani kubwa kwa wazungu waishio DSM. Tamko lile lilitolewa likiwa very specific, utekaji ulihusisha wazungu wawili, tena wakizungumza lugha isiyo ya kawaida. Tamko...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapendwa kwa kuwa wakati wa kujiandikisha vitambulisho vya taifa tumeandika namba za simu, napendekeza wananchi watumiwe SMS mara vinapokuwa tayari kwenye maeneo yao/kata zao. Hii italeta ufanisi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HATIMAYE changamoto ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam imepatiwa suluhu baada ya kujitokeza kwa mwekezaji mwingine katika mradi wa mabasi yaendayo haraka, maarufu mwendokasi. Mwekezaji mpya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwandishi: Kamanda, zaidi ya Mo bado kuna Ben Saanane, Azory Gwanda, Alfonse Mawazo, Simon Kanguye, Godfrey Luena, Daniel John na wengine wengi waliotekwa, kupotea ama kuuliwa na wasiojulikana...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
1.Utekaji uliozoeleka ambao ni "basic kidnapping" Hii inachukuliwa kuwa aina ya awali kabisa ya utekaji nyara na inaweza kufanyika kwa karibu sehemu zote za dunia na kwa maandalizi kidogo sana...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Wakuu naimani mu wazima wa afya tele,sasa kuna kitu kinanikoroga muda mrefu.Ni kwamba Mara ya mwisho kumuona ndugu #jiwe jijini au mkoani Mbeya ni wakati wa kampeni za mwaka 2015,tena alipita kwa...
16 Reactions
51 Replies
6K Views
Nakumbuka tweet ya Mo ya tarehe 26 July 2018 baada ya mtanzania mwenzetu kuomba msaada ya gharama za matibabu kule KCMC 'Nampongeza kila mmoja hapa Twitter kwa mchango wake alioutoa jana...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
-MeTL Group watangaza zawadi nono kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwake KAMPUNI YA MOHAMMED ENTERPRISES TANZANIA LIMITED (MeTL) Makao Makuu inatangaza kwa umma wa watanzania kwamba Meneja wa MeTL...
2 Reactions
94 Replies
13K Views
Watu tofauti hutafsiri kuwa mtoto ni baraka,wengine husema mtoto ni bahati,mtoto hana hatia nk. Na pia maandiko matakatifu(bible) yanasema kwamba "waacheni watoto wadogo waje kwangu .......... "...
1 Reactions
69 Replies
12K Views
Kwa hali ya sasa naona dada zetu wanaelekea pabaya, wadada wote ndani ya Bongo wanataka au washakuwa weupe wa rangi kuna jirani yetu tulikuwa tuna muita cheusi dawa ila sasa hivi kawa kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika haki isiyo ya kawaida ninapotaka kununua umeme kutoka kwa mawakala ninalazimika kumhonga kiasi cha fedha kulingana na kiasi cha fedha ya kununulia umeme! Mimi hununua wa shs.elfusitini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
"Nikawaagiza wakati ule waamuzi wenu, nikawaambia, Sikizeni ninyi maneno kati ya ndugu zenu, mkaamue kwa haki kati ya mtu na nduguye, na mgeni aliye pamoja naye". "Msitazame nafsi za watu katika...
1 Reactions
1 Replies
956 Views
Mzuqa Watu wanadai watekaji walimpiga stopu kuwawakilisha kama msemaji wao mara tu alipotaka kuunguza script masaa machache MO baada ya MO kutekwa. Walimuona liropokaji na domo lake lilivyo zito...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani linauliza maswali gani haya ya kichochezi? Badala ya kulipongeza jeshi letu la polisi linataka kuwajaza fikra gani wananchi? z
2 Reactions
35 Replies
8K Views
HATIMAYE changamoto ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam imepatiwa suluhu baada ya kujitokeza kwa mwekezaji mwingine katika mradi wa mabasi yaendayo haraka, maarufu mwendokasi. Mwekezaji mpya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kazi kweli kweli!!! Lakini kuna dhana kuwa no one is above the law even the President! Wahojiane tu! Lakini katika mahakama ya wananchi tushaajua wasiojulikana!! Maana Ukinusurika au ukiwawahi na...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom