MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Ninapenda kuwakumbusha watumishi wa umma agenda ya haki na wajibu. Haki zenu zimeboreshwa na mnazipata kwa wakati hivyo mna wajibu wa kutuhudimia kulingana na mkataba wenu wa ajira..
Serikali imewafanyia yafuatayo na ambayo yalikuwa kilio chenu Cha muda mrefu
-Kufanya marekebisho ya mishahara kuendana na elimu na vyeo vyenu.
- Mnalipwa salary kwa wakati
-Mmeboreshewa posho na motisha mlizostahiki kwa mujibu wa kada zenu.
- vitendea kazi yakiwemo magari, mafuta, vifaa tiba, makazi nk vimeboreshwa
- bima ya afya imeboreshwa
-Pensheni mnapata kwa wakati
-Madeni yote yamelipwa
-madaraja mnapanda
-haki ya kujieleza na kujiendeleza mmepewa.
- nk
Huduma mnayotoa mashuleni, vituo vya afya na hospital, vyombo vya ulinzi na usalama na kwingineko mboya haifanani na haki mnazopata? Tupeni huduma Kama wajibu wenu Kama sisi tunavyolipa Kodi kwa ajili ya ninyi kupata haki zenu.
Anayepingana na hayo hapo juu aje na mifano halisi siyo kutoa povu. Nawatakia mrejesho mwema