Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,901 Reaction score 9,824 Oct 21, 2018 #1 Minara na vinyago bora 18 vyenye maumbo ya 3D villivyopo katika mitaa mbalimbali ya nchi tofauti tofauti duniani.
Minara na vinyago bora 18 vyenye maumbo ya 3D villivyopo katika mitaa mbalimbali ya nchi tofauti tofauti duniani.
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,127 Reaction score 11,938 Oct 21, 2018 #2 Basi vizuri, ila hiyo ya biboko ni kiboko
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Oct 21, 2018 #3 Hiyo ya kwanza Wazee wa CHAPUTA tuna matumizi nayo baadae
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,901 Reaction score 9,824 Oct 21, 2018 Thread starter #4 Kichwa Kichafu said: Hiyo ya kwanza Wazee wa CHAPUTA tuna matumizi nayo baadae Click to expand... Kwani rais wenu amehalalisha mkuu!
Kichwa Kichafu said: Hiyo ya kwanza Wazee wa CHAPUTA tuna matumizi nayo baadae Click to expand... Kwani rais wenu amehalalisha mkuu!
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Oct 21, 2018 #5 Joselela said: Kwani rais wenu amehalalisha mkuu! Click to expand... Mimi ni mwenyekiti kivuli nimepitisha
Joselela said: Kwani rais wenu amehalalisha mkuu! Click to expand... Mimi ni mwenyekiti kivuli nimepitisha
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,901 Reaction score 9,824 Oct 21, 2018 Thread starter #7 Mwenyekiti upo chini ya wanachama wote na wanachama wote wapo chini ya kamitii ya chaputa. Kichwa Kichafu said: Mimi ni mwenyekiti kivuli nimepitisha Click to expand...
Mwenyekiti upo chini ya wanachama wote na wanachama wote wapo chini ya kamitii ya chaputa. Kichwa Kichafu said: Mimi ni mwenyekiti kivuli nimepitisha Click to expand...
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,949 Reaction score 33,798 Oct 21, 2018 #8 hiyo ya picha na 2 ni kinyago au mdada kabisa
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,949 Reaction score 33,798 Oct 21, 2018 #9 kwani nini vinyago vingi vinawekewe rangi nyeusi,kwani nini hivyo vinyago wasipake rangi kama zao hao
kwani nini vinyago vingi vinawekewe rangi nyeusi,kwani nini hivyo vinyago wasipake rangi kama zao hao
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,901 Reaction score 9,824 Oct 21, 2018 Thread starter #10 Kuna kinyago upande wa kushoto na kulia mdada wa kweli. Econometrician said: hiyo ya picha na 2 ni kinyago au mdada kabisa Click to expand...
Kuna kinyago upande wa kushoto na kulia mdada wa kweli. Econometrician said: hiyo ya picha na 2 ni kinyago au mdada kabisa Click to expand...