Juma Ally, aliyejenga nyumba katikati ya mpaka Tanzania na Kenya katika kijiji cha Jasini wilayani Mkinga Mkoa wa Tanga amesema haoni
tatizo nyumba yake kuwa eneo hilo.
Amesema nyumba hiyo ipo...
Wapo wanaodanganyika;
Eti kwamba ukiweza kuendesha Gari dar es salaam Tanzania basi utaweza kuendesha gari popote huko duniani (kimataifa).
Ukweli ni kwamba madereva wetu wengi bongo wakiwemo Wa...
Habari wapendwa?
Ni muda sasa umepita toka mwezi wa 12 mwaka jana hakuna kondom sokoni(kama mtu anazo ni stock) nimejaribu kuuliza nikaambiwa haziji Tanzania mpaka mwezi wa sita watakapo pata...
Bado Tundu Lissu anaendelea kutaja kuliko mtu yeyote kwa sasa katika siasa za Tanzania.
Jana niliona majibu ya Waziri Kangi Lugola kuhusiana na ushambuliwaji wa Lissu, nilichogundua kuna uzembe...
Ndugu zangu kifo uleta uzuni sana kwa ndugu..machungu upungua pale Maiti inapozikwa.,kwa waliofiwa wanaelewa.
Sasa shida zinaanza km maiti kucheleweshwa kuzikwa.
1.Wakusanyaji wa michango...
Wakuu habari za shughuli. Tafadhali kama kuna mtu yeyote aliyesoma shule tajwa hapo juu au jirani na shule hiyo au una jamaa kwenye hiyo shule, naomba anipatie mawasiliano ya mwalimu yeyote yule...
Habari za jioni wanajukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.
Mimi ni muagizaji mzuri wa magari Japan, UK
Kiukweli nakwazika mno na utendaji kazi wa kampuni ya EAA TANZANIA ambayo imepewa...
Katika nchi nyingi za Africa Rais ndio cheo kikbwa cha madaraka.
Wanasiasa wengi wana ndoto za kuwa Rais wa nchi ila ili kufikia cheo hicho mchakato wake ni mrefu sana,km huna imani utatumia njia...
Amani iwe juu yenu waungwana.
Husika kichwa cha habari hapo juu,ningependa yupeane ufafanuzi kidogo juu ya swala hili.
Nijuavyo Mimi,mgonjwa anazo haki zake za msingi,mfano...
Inachekesha na kuhuzunisha hapo hapo.
Huko Rombo kwa kina bwashee, kijana wa darasa la sita karudi toka shule.
Nyumbani hakukuta msosi, lakini kwa jirani akasikia harufu nzuri ya ngararimo...
Understanding Valentines Day
Why you can't be my Valentine:
February 14th was called “Lupercalla”
Or “day of the wolf”
This was a day that was sacred to the sexual frenzy of the goddess Juno...
Kaya mbili zimetengwa na wananchi wa Mtaa wa Nyantorotoro katika Halmashauri ya Mji Geita akiwemo mume na mke waliopewa adhabu ya kulipa faini ya ng’ombe kwa kila mmoja ama shilingi 100,000...
HAPO SASA!
Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Fedha Dkt. Ashuta) na nusu...
Lisemwalo lipo.
Serikali ina mpango wa kuanza kuwatoza wanaongezewa damu. Kwanza, kwenye hospital binafsi na baadaye, hata zile za serikali.
Watanzania hujitolea bure damu ili kuwanusuru...
Kutokana na kuwepo kwa kampuni nyingi sana za maji ya kunywa na zile za kutengeneza pombe kali hili linapelekea competition kuwa kali zaidi sokoni.
Ili ku win soko lazima upunguze sana bei na hili...
Shakila Said Mungu akulaze mahala pema Peponi.
Marehemu Bi Shakila Saidi Alipoenda kumuaga Raisi Jakaya Mrisho Kikwete."the great president of our Time"
Ni kama anamuambia Rais Jaakaya Mrisho...
Jamani tunaomba muwalipe watumishi stahiki zao hasa walimu hata kama hawana nguvu za kuwadai kwa unyonge wao.Dodoma nyie mmeongoza kwa ukusanyaji wa mapato,hiyo yote ni nguvu ya watumishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.