Sintoisahau abadaan!!!!

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
23,087
2,000
Shakila Said Mungu akulaze mahala pema Peponi.

Marehemu Bi Shakila Saidi Alipoenda kumuaga Raisi Jakaya Mrisho Kikwete."the great president of our Time"
image.jpeg

Ni kama anamuambia Rais Jaakaya Mrisho Kikwete "Kwaheri mwanangu"
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,982
2,000
Inalilah wainaillah Rajiun!Ewe Mola mpokee mja wako kwa wepesi na huruma,Namuombea awe na kauli Thabit.
 

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
5,143
2,000
Taarabu ya zamani ilikua nzuri sana na has a ujumbe uliopo,lugha inayotumika pamoja na beat ya vyombo vya asili.ukisikiliza inakufanya utafakari kwa utulivu sana moyoni sio hizi za sasa sijui mwanamke mkorofi mchukulie mumewe sijui ndo inafunza nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom