Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,227
- 40,718
HAPO SASA!
Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Fedha Dkt. Ashuta) na nusu nyingine (chumba kimoja) ipo Tanzania (aliposimama Naibu Waziri Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya anatafuna na askari wa bongo hawamfanyi kitu