Baada ya tafiti kuhusu FLAT 'Bense' Earth na Universe sasa nimegundua mtu flani.
miminimkulimanachekasana
Huyu ni mwanamke Mjerumani na ikiwa ni Mtanzania basi anayo asili ya Germany, anaonekana...
Kikwete bana!
Huyu mzee alikuja na Mabilioni ya Kikwete. Tatizo yalikosa wasimamizi na hayakuwafikia wajasiliamali wadogo wadogo. Kuna wafanyabiashara wa mamilion mengi nao walijichotea wakala...
Hakika dunia hii ina maajabu ya kila aina. Kuna magonjwa na maradhi ya kushangaza na kuogopesha.
Moja wapo ya magonjwa hayo ni maradhi ya Hallermann-Streiff (Hallermann-Streiff Syndrome)...
Mtu mmoja mwenye asili ya Ujerumani anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Mbeya baada ya kukutwa na bunduki aina ya gobole ambalo limetengenezwa kienyeji, huku pia akiwa hana vibali vya kuingia...
Hapo vip!!
Juzi ilikuwa nafuatilia kipindi kimoja clouds, wakati wanamuiterview Mwigulu Nchemba.. Nikichefu chefu.
Sijui huwa wanawatoa wap, waandishi wa habari ni vilaza kweli kweli...
OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeomba kibali cha kuajiri walimu mbadala 4,900 wa masomo ya sayansi katika shule mpya za sekondari zinazojengwa nchini hivi sasa...
Je wajua?
Na baya zaidi na la kusikitisha sana ni kwamba sherehe hizi zinaenezwa katika njia mbali mbali za mawasiliano kama kutumiana kadi, barua pepe (e-mail), salamu katika simu za mkono...
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Michael Wambura amerudishwa tena rumande hadi Februari 28, 2019
Wambura anakabiliwa na mashtaka 17 yakiwemo ya uhujumu...
Dodoma.
Katika azma ya kuboresha huduma za kibingwa za matibabu, Serikali kupitia Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma imeanzisha huduma za matibabu ya moyo kwenye maabara ya uchunguzi na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wasanii nchini kuiga mambo yenye kuleta manufaa kwa jamii.
Makamu wa Rais ameyasema hayo jana jijini Dar es...
Huu ni ujumbe kwa wale wanangu wa ukweli team vimbaumbau wanaoenda gym ili kujenga misuli na kubadilisha muonekano!
Wengi wao wamekuwa wakikata tamaa baada ya kutokuona matokeo yeyote!na kujikuta...
Ndugu wananchi, vyombo vya usalama mkoa wa Mbeya. Napenda kutoa taarifa hi kwa Uma na hata vyombo vya Dora vya Mkoa wa Mbeya Mjini kwa ujumla ya kwamba sisi wakazi wa Mtaa wa Inyala tunateseka...
Hali ya hofu na wasiwasi imeikumba kata ya Endakiso, kijiji Gijedubung wilayani Babati mkoani Manyara baada ya Mwenyekiti wa kijiji ndugu Faustine Kwaslema Sanka kupotea katika mazingira...
Leo nimetokea mkoani nimefika hapa Dar kikazi.Baada ya mizunguko yangu nikaamua kupata kinywaji katika Restaurant moja huku mbezi ya kimara.
Kuna mhudumu wa Bar nkawa nabadili nae stori za hapa...
Nimeshinda kiasi fulani cha hela Bettwinner lakini kudraw hiyo hela kipitia bank MasterCard imeshindikana. Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti mpya zinaonesha kwamba miaka milioni 100-110 iliyopita, hapa Tanzania aliishi myama mkubwa sana na alikuwa akila majani. Mnyama huyu aliye julikana kwa jina la Mnyamawamtuka Moyowamkia...
DALILI 7 KUWA UTAKUJA KUFANIKIWA
Kila mtu duniani anataka kufanikiwa. Ni jambo ambalo unaliona katika binadamu toka anapozaliwa. Utamuona mtoto mchanga atapojaribu kusimama mara kwa mara mpaka...
Wakuu nimetafakari sana hizi habari za ushirikina nchini kwetu zikidhihirishwa na mauaji ya ajabu ajabu,,mfano mauaji ya Njombe,MKIRU,Shinyanga na mengine kama haya.
Ingawa yamehusishwa na...
Msaada kuna binti wa kazi amekuja home katika maelezo yake alikotoka aliwahi kuwa mchawi na Bibi yake lakini aliweka agano la kuacha.
Sisi kama familia tumepiga maombi sana na kuchoma moto vitu...
Habari wadau.
Ningependa kufahamu, hivi ule mradi wa kutengeneza mvua (artificial rain) uliishia wapi?
Nakumbuka mradi huu ulitakiwa ufanywe na wataalamu kutoka nchini Indonesia ili kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.