Nimeona bidhaa (kimiminika)mnayozalisha inayoitwa "Morizella Juice Diet Doctor" kama kinywaji hicho nyie ndio mliokibuni kulikuwa na ulazima kuiweka picha ya Mtu mweupe? (Mzungu) kama yeye ndio...
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujenga sanamu la mheshimiwa Rais wetu mpendwa maana juhudi zake za kuliletea taifa maendeleo ni kubwa sana na hatujawahi kuziona mfano ujenzi wa stiglers gorge...
Wafanyakazi zaidi ya 180 wa kiwanda cha kutengeneza kinywaji aina ya Mbundi mbundi kilichopo eneo la Unga limited jijini hapa,wamejikusanya mbele ya lango la kiwanda hicho wakimlalamikia mwajiri...
MKAZI wa Lizaboni Manispa ya Songea mkoani Ruvuma, Mohammed Hamim, ameuawa kwa kupigwa na kipande cha bomba la chuma kichwani alipokuwa akiamulia ugomvi wa mume na mkeo ambao ni majirani zake...
Miwani ya Macho ilianza kutafsirika kama alama ya Usomi mtaani, Vilaza wengi wakakimbilia miwani angalau wapate pango la kujifichia.
Kwa saba tumevuka mipaka miwani ya macho yenye flemu za...
Kangi kama Ameweza Kuuliza kwa nini Dereva wa Lissu hakupigwa risasi hata moja na risasi zote zikampata Lissu pekee nadhani hawezi kushindwa kuuliza kwanini dereva wa Mwigulu Mchemba hajaumia...
Mkuu kuna mdogo wangu wa kike anasumbuliwa na Maruhani mno, moja ya matukio yanayomsumbuwa ni pamoja na muda mwingine kushindwa kupumua, au kupoteza nguvu au kuwa na hali ya kuyumbayumba kama mtu...
Mtoto wa bro ana miaka 9 anasoma darasa la 4. Na pia ni mwendaji mzuri wa Madrasa. Kuna zee moja chawi ,lina ushetani limeanza muda kumuita mchumba mchumba kama haitoshi. Last week limenisimamisha...
KINACHOENDELEA N ZAIDI YA MASIKITIKO KWA KWELI
MIKUTANO MINGI YA INJILI.N YA KUFUNGUA WATU WALIOTESEKA NA VIFUNGO VYA SHETANI
WATU WANAKUJA KUPATA BREAK THROUGH NA SIO KUSUBIRI MAJUNGU WAPENDWA...
Heshima sana wanajamvi,
Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri Wahindi na si...
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Iringa imewahukumu kifungo cha miezi sita kila mmoja wahamiaji haramu kwa kosa la kuingia nchini bila vibali huku wahamiaji wengine saba raia wa Ethiopia na...
Camel meat is not Halal in the Torah. It is 'unclean' in the same catagory with pork (Leviticus 11:4-7). Ukisoma utaona kuwa ngamia ameweka kundi moja na nguruwe katika kitabu cha Torati. Lakini...
Mfanyakazi wa shirika la reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Bahati Selemani amekamatwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, (TAKUKURU), mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuomba na kupokea...
Msaada wadau, nina coffetable yangu Ya kioo na miguu yak ni ya shaba sasa mguu mmoja umetoka je nitumie nini kuunga tena huo mguu?? Meza yangu naipenda mnoo sitak kuitupa
Juzi nimeingia 'IG' Instagram yaani
Nikaona tangazo linasema kuwa 'kwa mahitaji ya sex toy(Midoli ya ngono) kama uume bandia na Uke bandia" nikaona ni jambo la kawaida kidogo.. nikapuuza ila kwa...
SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini...
Mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Njombe imefanya oparesheni ya dharura ya ukaguzi wa mashine za kielektronic za kukatia risiti katika taasisi za shule , Zahanati pamoja na vituo vya afya na kubaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.