HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA NI LINI MTAWALIPA WATUMISHI WENU FEDHA ZA MALIPO YA LIKIZO ZA JUNE NA DECEMBER?

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Jamani tunaomba muwalipe watumishi stahiki zao hasa walimu hata kama hawana nguvu za kuwadai kwa unyonge wao.Dodoma nyie mmeongoza kwa ukusanyaji wa mapato,hiyo yote ni nguvu ya watumishi na juhudi zao,Mh rais alishasema hataki madeni ya malimbikizo yasiyo na kichwa wala miguu...lipeni fedha za watu bwana.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom