Ni jimbo gani nchini marekani linakaliwa na watanzania wengi?

Hapa sina chakuchangia. Hata Marekani sijui kama nitafika.
 
Texas sehemu gani? Texas kubwa
Kama kitu huwelewi ni afadhali ukae kimya uache wanaofahamu wachangie, sio lazima uchangie kila kitu, Texas ndio jimbo wewe ulitaka asemeje? au unavyosoma kwenye magazeti Houston na San Antonio unadhani haya ni majimbo?
Tembeeni jamani mpate exposure sio umeganda tu Dar es salaam kama sanamu.
 
Du! Napita tu
 
Mkuu tujifunze kuelewa swali, hajauliza ni mji gani bali ameuliza ni Jimbo gani lina Watanzania wengi?
<br />
<br />
nimeelewa vizuri sana, ila kuna pahala ameuliza texas wapi haswa. Its too obvious to make a slip! Try another challenge
 
Back
Top Bottom