Shirika la Kusimamia Ubora(TBS) imulikeni EAA Tanzania

nsasa

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
276
500
Habari za jioni wanajukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.

Mimi ni muagizaji mzuri wa magari Japan, UK
Kiukweli nakwazika mno na utendaji kazi wa kampuni ya EAA TANZANIA ambayo imepewa zabuni ya kukagua magari (na TBS) na kuyapa kibal cha kuingizwa kama yatakua yamekidhi vigezo
Niwakumbushe tu kampuni hii hua inalipwa dola 300 za marekani kwa kila gari linalokaguliwa.
Kinachosikitisha ni pale mteja unapoletewa gar mbovu, engine, au interior parts ambazo kwa kuangalia pichan huez gundua shida had zikaguliwe.

Najiuliza je hii kampuni inakua inakagua gari kikamilifu au hua wanapitisha tu!?
Binafsi nimekutana na kesi 2

1. Moja gari ilikuja imekufa shokap zote 4
2. Gari ilikuja engine mbovu haitembei ata hatua 10 inazima
Na gari zote zilikuq na certificate ya ukaguz na zilionyesha kupass

Wajuzi wa mambo nisaidien je hamna namna yeyote ambayo naweza kuwashtaki TBS kwa kunipa clear certificate wakat chombo n kibovu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,748
2,000
Tangu mwanzo kabla ya haya malalamiko, huyu mzabuni alivyopewa tu hii kandarasii watu walipiga kelele Sana kua hana uwezo wala uzoefu. Lakini waheshimiwa wetu huko TBS wakatupuuza. Imagine mtu unalipia gari ukiamini kua ni nzima badala yake unaipokea ikiwa mbovu.
Kwakwel nahis kuna mswail kaka maana kazi
Gari zinakuja mbovuuuu na zina cheti kipo clear

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,674
2,000
Tena usiombe gar za Uk n mbovuuuuuu
Ndo io niliagiza lexus ilikuja shokap zote mbovu na gar imepass
Sijui hua wanakagua nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ilim cost mkurugenzi wa TBS mpk akapelekwa mahakamani baada ya kutengeneza Co. hewa ya ukaguzi wa Magari huko Japan.

Hivi hizo gari za kutoka UK zinazokuja na hali hio maana yake hata MOT hazi kupass huko UK sio mkuu?
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,887
2,000
That why unauziwa bei nafuu coz ni used cars zingine ni used and defectives
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,674
2,000
Sidhan hata kama hua wanakagua
Maana gar ikija hata kwa macho unaona n kopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Shughuli hio,gari kama Benz,Bmw,Discovery,Range rover etc ikija Shock up zote 4 zimekufa/engine kimeo aisee hela itayokutoka hapo utatoka unatukana siku nzima.

Ndio maana wengine tuna prefer Japan huku,atleast kuna reliable Co's zenye office zake Dar/Mwanza Kama Be forward,trade car view etc gari ikija kimeo unauwezo wa kuzinguana nao.
 
nsasa

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
276
500
Daah Shughuli hio,gari kama Benz,Bmw,Discovery,Range rover etc ikija Shock up zote 4 zimekufa/engine kimeo aisee hela itayokutoka hapo utatoka unatukana siku nzima.

Ndio maana wengine tuna prefer Japan huku,atleast kuna reliable Co's zenye office zake Dar/Mwanza Kama Be forward,trade car view etc gari ikija kimeo unauwezo wa kuzinguana nao.
Gari za UK, ujerumani n very risk
Na spare zake n gali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilonga

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
1,025
2,000
That why unauziwa bei nafuu coz ni used cars zingine ni used and defectives
Iwe na defects na certificate ioneshe hiyo defect kuwa injini yake mbovu. Kuliko certificate kusema kila kitu pass, halafu gari linafika, mita 10 linazima. Huo unakuwa ni utapeli.
 
nsasa

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
276
500
Iwe na defects na certificate ioneshe hiyo defect kuwa injini yake mbovu. Kuliko certificate kusema kila kitu pass, halafu gari linafika, mita 10 linazima. Huo unakuwa ni utapeli.
Kabisa ni bora wakuambie ukwel kua tatizo lipo sehem flan uamue ununue au uache
Kuliko kila kitu pass af inakuja engine mbovu ad basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hassan Mambosasa

Verified Member
Aug 2, 2014
2,487
2,000
Daah Shughuli hio,gari kama Benz,Bmw,Discovery,Range rover etc ikija Shock up zote 4 zimekufa/engine kimeo aisee hela itayokutoka hapo utatoka unatukana siku nzima.

Ndio maana wengine tuna prefer Japan huku,atleast kuna reliable Co's zenye office zake Dar/Mwanza Kama Be forward,trade car view etc gari ikija kimeo unauwezo wa kuzinguana nao.
Kwanza siku hizi china anatoa Mercedes benz..... Japan anatoa Volkswagen, BMW, rolls royce hivyo haina haja ya kwenda huko Ulaya kujipa risk. Hayo magari tajwa hapo juu viwanda vya huko vipo Under license.. . Hata befoward unaagiza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom