Kuna nini St. Peters saa 1 kwenye Foleni.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,367
2,000
Toka saa 1 tupo kwenye Foleni maeneo ya Namanga... Huku Magari makuu kuu aina Land Rover BREAKDOWN yakipita Service Rd. Kuelekea huko
 

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,038
2,000
Ni foleni ya kawaida tu ambayo ipo siku zote, najiuliza wanaoendaga hadi posta huwa wanafika saa ngapi. Nimeshuka kwenye daladala Morocco nikaamua kutembea, hadi nimefika mbuyuni hakuna gari imesogea......ni shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,155
2,000
mpunguze kulala....mimi nimepita moroko 12 kamili asubuh, nimefika posta 12:15 asubuh......nyumbani nimetoka saa 11:40.....hebu acheni kulala
 

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,124
2,000
mpunguze kulala....mimi nimepita moroko 12 kamili asubuh, nimefika posta 12:15 asubuh......nyumbani nimetoka saa 11:40.....hebu acheni kulala
Mkuu unasoma shule gani mnawahi number mapema hivyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom