Anayemfahamu mwalimu yeyote pale Ihuka shule ya msiñgi Ikuñgi Singida

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
978
1,138
Wakuu habari za shughuli. Tafadhali kama kuna mtu yeyote aliyesoma shule tajwa hapo juu au jirani na shule hiyo au una jamaa kwenye hiyo shule, naomba anipatie mawasiliano ya mwalimu yeyote yule anayefundisha pale. Itakuwa vizuri zaidi kama nitapata mawasiliano ya mwalimu Joseph Remiji Mtinangi. Alikuwa rafiki yangu sana nilikuwa naye sekondari ya Tanga Tech. miaka lukuki iliyopita. Natanguliza shukrani nyingi sana.
 
Ni Ighuka Au Ihuka? Pale Ikungi Hakuna Shule Inayoitwa Ihuka Bali Ni Ighuka
 
Back
Top Bottom